(Sung in Swahili)

Bwana Yesu amenikomboa (The Lord Jesus has saved me)
Bwana Yesu, amenipa nguvu (The Lord Jesus has given me strength)
Yesu amenijaza furaha na amani (Jesus has filled me with joy and faith)
Sasa ninaimba kushukuru! (Now I’m singing to give thanks) (Repeat)

Pre-Refrain:
Baraka, ‘tukufu, heshima na nguvu (Blessing, glory, honor and strength)
Kwa Bwana anayestahili (To the Lord Who is worthy)
Twakupatia sifa zote (We give You all the praise)
Milele (Forever)

Refrain:
Milele, milele, milele twakusifu (Forever, forever, forever we praise You)
Wewe wastahili (You are worthy)
Milele, milele, milele twasema asante (Forever, forever, forever we say thank You)
Kwako wewe tu (To You alone)

(Pre-Refrain + Refrain)

Uhuru wa Bwana ni wa kweli (The freedom of the Lord is true)
Wema wa Bwana ni wa ajabu (The goodness of the Lord is wonderful)
Upendo wa Bwana hauna kipimo (The love of the Lord has no measure)
Sasa ninaimba kushukuru (Now I’m singing to give thanks)

(Pre-Refrain + Refrain)

Twasema asante (We say thank You)
Kwako wewe tu (To You alone)

Advertisement