(Sung in Swahili)

Majina yote mazuri ni yako (All precious names are Yours)
Eh Jehovah, muumbaji wangu (Oh Jehovah, my Creator)
Nikupe jina gani, kwani (I wonder which Name to call you, Because)
Kila la kiheri ni upekee wako! (Each special name is unique to You) (Repeat)

Umeniponya, nakuita Jehovah Rapha (You have healed me, I call You Jehovah Rapha)
Mungu mponyaji wangu (God, my Healer)
Umeniokoa, nakuita mwokozi (You saved me, I call You Savior)
Bwana Mungu wa wokovu wangu (God of my salvation)
Umenipigania, nakuita Jehova Nissi (You’ve fought for me, I call You Jehovah Nissi)
Bendera ya ushindi wangu (The banner of my victory)

Bridge:
Usifiwe, ewe Bwana (Be glorified, O Lord)
Muumba wangu, na nuru yangu (My Creator and my Light)
Wema wako wanijaza moyo (Your goodness fills my heart)
Wewe ndiye, mchungaji wangu (You’re my shepherd)
Tena kiongozi wa maisha yangu (And the leader of my life)
Wanitazama kama mboni ya jicho lako! (You watch over me like the apple of Your eye) (Repeat)

Umenifanya kuwa kielelezo (You have made me a testimony)
Cha walio barikiwai (Of those who have been blessed)
Zaidi ya yote, ukanifanyai(Above all, You made me)
Kuwa baraka, ili nami nibariki (Into a blessing, that I may bless as well)
Nimekupata na nikaridhika (I found you and was satisfied)
Wewe ni yote ndani ya yote (You are all in all)

(Bridge)

(Last Verse)

(Bridge)

Advertisement