Wannonda (You Chose Me) Lyrics by Judith Babirye

1 Comment


(Sung in Luganda)

Wannonda mu nsi eno (You chose me in this world)
Bwenali ntabula obw’omu (When I was walking alone)
Wampita elinya (You called my name)
Dala notafayo kubanafu bwange (Not caring for my weakness)
Wankwaata ku mukono (You held my hand)
Nompisa mu kaseela akaali akazibu enyo (And got me through difficult times)
Yegwe Wannonda kulunaku (It is You who chose me)
Olubi olwokuzilika (On the evil day of fainting)
Obulamu nga bulima ebipapajo (When life was in pieces)
Yengwe Wannonda (You chose me)

Refrain:
(Mukama) Yengwe Wannonda (Lord, You  chose me)
Mukama nga sinaba kukutegela (Before I even knew You, Lord)
Ensi nga tenaba kkumanya (Before the world knew me)
Nompita omwana (You called me Your child)
Kankuwe omutimwa gwange (I give You my heart)
Mukama kanukwe obulamu bwange (Lord, I give You my life)
Taata sikilinaamu buzibu (Father, this is not hard)
Kubanga yegwe wannonda (For it is You who chose me) (Repeat)

Bwe wannonda wakyusa olugelo lwange (You changed my story when You chose me)
Amagenda gange, kanti ndaba gyendaga (And My future, I see now my path)
Sikyakaaba lwanaku (No more tears of sorrow)
Kati nkaaba lwasanyu (I now cry for joy)
Mukama yegwe wannonda (Lord, You chose me)
bwenamenyeka omotuma eli munda (When my heart was broken)

(Refrain)

Kati bwotyo, onabanga Katonda wange (Now You will forever be my God)
Yengwe wannonda (For You chose me)
Lwenamenyeka omutima eli munda (When my heart was broken)
Dala bwotyo (Truly in this way)
Onabanga Musumba wange (You will forever be my Shepherd)
Yegwe Wannonda (For You chose me)
Bwenakaba okujula okuzirika (When I cried until I was faint)

(Refrain)

Egemeo (Refuge) Lyrics by Godwill Babette

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Roho wako mwenyezi (Your Spirit, Almighty)
Amenifanya jinsi nilivyo (Has made me the way I am)
Pumzi yako, uhai wangu (Your breath, my life)
Umefufua mifupa mikavu (You have resurrected the dry bones)
Uhai umenipa Baba yangu (You have given me life, My Father)
Umetuliza dhoruba (You have calmed the winds)
Wakati wa mawimbi (In the times of storms)

Refrain:
Moyo wangu na ukuiniue wakati (May my heart lift you every time)
Nafsi yangu ikuhimidi kila saa (My soul to praise You every hour)
(Repeat)

Egemeo Baba yangu umbali huu (My Refuge, this far You’ve brought me)
Ninashukuru, Mwamba (I am thankful, the Rock)
Dunia, mbingu ni mwashahidi (Heaven and earth are witnesses)
Umbali huu ni wewe Bwana wa mabwana (This far You have brought me Lord of Lords)
Kwa makubwa, madogo, umbali huu (In great and little things, thus far)
Ni wewe Bwana wa mabwana (It is because of You Lord of Lords)
Na mengi, machache, umbali huu (In many and in the few, thus far)
Ni wewe Bwana wa mabwana (It is because of You Lord of lords)

(Refrain)

Bridge:
Ninakuinua, inua aa (I lift You up, Lift up)
Umetenda mema, mema Bwana (You have done Good, Good Father)

Ni wewe (wewe) Shamma (You are always there)
Wewe ni Jehovah Shamma (You are the Lord who is there)
Ni wewe (wewe) Jireh (You are the Provider)
Wewe ni Jehovah Jireh (You are the Lord our Provider)
Ni wewe (wewe) Shamma (You are always there)
Wewe ni Jehovah Shamma (You are the Lord who is there)
Na bado wazidi kuwa Mungu umekuwa (And You still remain the Same God) x2

Bawo Wethu (Our Father) Lyrics by Lundi Tyamara

Leave a comment


(Sung in Zulu)

Refrain:
Bawo wethu, bawo, ulikhaya lethu (Our father you are our refuge, Father)
Lethu sonke Bawo Bawo wethu (All of us Father, our Father)
(Repeat)

Sicel’uxolo Kuwe (We ask for Your forgiveness)
Sicel’amandla Kuwe (We ask for Your strength)
Sicel’uthando Baba (We ask for Your Love, Father)

S’thelele Baba (Forgive us Father)
S’thelele Baba (Forgive us Lord)
Ebunzimeni (In this world)
Balo mhlaba (Full of hardship)

(From the top)

Mshipi (Belt) Lyrics by Kwaya Kuu Ya Mtakatifu Cecilia (St. Cecilia Choir) – Arusha

1 Comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana
(Who is like God, if not the Lord?)
Ni nani aliye Mwamba, Mwamba ila Mungu
(Who is the rock, the Solid Rock if not God?)
Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu, aha!
(It’s God who who girds me with strength)
Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu, aha!
(It is God who is my refuge in my weakness)
Naye anaifanya kamilifu njia yangu
(He who makes my path complete)
Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu, aha!
(It’s God who who girds me with strength)
Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu, aha!
(It is God who is my refuge in my weakness)
Naye anaifanya kamilifu njia yangu
(He who makes my path complete)

Ni yeye Bwana aliye nguvu zangu nampenda sana
(He is the Lord with the strength, I love Him)
Ni yeye Jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu
(He is my rock, my shelter and my Saviour)
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia
(My God, My rock whom I run to)
Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu
(My shield, the cornerstone of my salvation and my refuge)

(Refrain)

Katika shida zangu nilimwita Bwana “ee Bwana”
(In the midst of my trials I call the Lord “Oh Lord”)
Na kumlalamikia Mungu “ee Mungu”
(I bring my complaints to God “Oh God”)
Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake
(He heard my voice in His Temple)
Kilio changu kikaingia masikioni mwake
(My cries reached His ears)

(Refrain)

Bwana alinitendea, sawasawa na haki yangu
(Lord dealt with me according to my rights)
Akanilipa sawasawa na haki yangu
(And He repaid me according to my rights)

(Refrain)

Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
(I shall call upon the Lord who deserves the praise)
Hivyo nitaokoka na adui zangu
(And thus I shall be saved from my enemies)

(Refrain)

Mungu Halisi (True God) Lyrics by Paul Clement

1 Comment


(Sung in Swahili)

Ajabu imo ndani yako (Wonderful things are to be found in You)
Matendo yako bahati (Your works are not due to luck)
Ni kamili, si hadithi (They are perfect, not tales)
Ukitenda umetenda Bwana (Lord, If You do You’ve done) (Repeat)

Matendo yako (The work of Your hands)
Yanatisha kama nini (Are terrifying)
Matendo yako (Your works)
Yanatetemesha (Cause trembling)

(From the top)

Bwana wewe si hadithi (Father You are not fiction)
Wewe si simulizi (You are not a story)
Bwana wewe ni kweli (Lord You are real)
U hai, u milele (You are alive, You are forever)
We si story za kale (You are not a tale of the past)
Za mababu wa kale (Stories from our forefathers)
Bwana wewe ni kweli (Lord You are truth)
U hai, u milele (You live, You are forever)

Bwana wewe ndiwe Mungu (Lord, You are God)
Huhitaji matangazo wakujue (You do not need announcements to be known)
Matendo yako yanajieleza (Your work speak for You)
Kuwa wewe ni kweli (That You are Truth)(Repeat)

Response: Ni kweli (It is the truth)
Kwamba nguvu zako (That Your might)
Zinajieleza (Speak for itself) x2
Kwamba matendo yako (That Your works)
Yanajieleza siku hadi siku (Speaks for itself day after day)
Yanajieleza kwenye maisha yetu (Speaks in our life)
Yanajieleza kwenye uponyaji wetu (Speaks in our healing)
Yanajieleza Kwenye kuinuliwa (Speaks in our lifting up)

Older Entries Newer Entries