Merciful God Lyrics by Erick Smith

Leave a comment


When I am in trouble, oh
You don’t turn a way from me
You listen to me
You fill my heart, with good things
You don’t turn Your back on me, Oh my Lord
And you bless me, with love and Mercy

Refrain:
You are a Merciful Lord
You are a loving Lord
Slow to become angry
Full of constant Love
Slow to become angry
Full of Constant Love

As the father is kind to his children
So the Lord is kind to those who honor Him (so kind)
He’s merciful to from Him our salvation comes
Oh my Lord, You are so good to us.
You lift up them who humble before You Lord
Faithful God

(Refrain)

Bridge:
You are my everything
You deserve all the glory, Lord
You are so Great!

(Refrain)

Patakatifu Pako (In Your Holy Place) Lyrics by Erick Smith

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Patakatifu pako, hapo ndipo nahitaji (In Your Holy Place, that is what I need)
Mahali pa maana, juu ya yote (The place of importance, over all others)
Katika mikono yako, mimi najiweka (I have placed myself in Your Hands)
Nizungukwe mimi, na uwepo wako (That I may be surrounded by You Presence)

Refrain:
Niambie utakalo, Bwana (Tell me what you wish, Lord)
Nipe nguvu ya kushinda majaribu, Yesu
(Grant me the strength to overcome temptations, Jesus)
Nakuhitaji Bwana, maishani Mwangu (Lord, I need You in my life) (Repeat)

Ninachohitaji Yesu, nikufurahisha roho yako
(What I need Jesus, is to please Your Spirit)
Wewe rafiki mwema, uliye nipenda (Unaye tupenda)
(You are a Good Friend, who loved me (who loved us))
Kwa ajili yako Yesu, sisi tumekombolewa
(We are saved because of You, Jesus)
Kuwa na wewe Yesu, yashinda yote
(Being with You is better than anything else)
(Repeat)

(Refrain)

Oh Yesu, neno lako lasema (Oh Jesus, Your words says)
Siku moja katika utukufu wako (One day in your Holiness)
Yazidi miaka elfu duniani (Is better than a thousand on earth)
Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako (Jesus help me to be in You Holiness)
Siku zote za maisha yangu (All the days of my life)

Nahitaji mkono wako, niongozwe na wewe Bwana
(I need Your Hand, to be led by You, Lord)
Kimbilio, msaada wa karibu, ni we, ni we, ni we
(My refuge, my close help, is You, is You, is Yo)
(Repeat)

(Refrain)

Wewe Ni Zaidi (You are More) Lyrics by Erick Smith

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Ninashangaa, nikielewa (I stand amazed when I understand)
Wewe ni zaidi ya vile nilivyoambiwa juu yako
(That You are greater than what I’d been told)
Tena sauti Yako yanizidia (Your voice also exceeds)
Sauti zote ninazosikia (All other voices I hear)
(Repeat)

Refrain:
Yale umetenda Baba, yote ni makuu (All that You’ve done Father, is Great)
Maana wayatenda kwa upendo (For You do all things with Love)
Yale unasema baba Yote ni kweli (All that You say Father, is true)
Maana pia wayasema kwa upendo (For You speak them with Love) (Repeat)

Nimejipata, ndani ya upendo wako (I’ve found myself in Your Love)
Umekua kwangu mapumziko (You’ve become to me a resting place)
Neema yako yanitosha (Your Grace is sufficient for me)
Nikiwa nawe mimi niko huru (When I’m with You, I’m free) (Repeat)

(Refrain)

Bridge:
Wewe ni Mungu mkuu (You are the Great God)
Mfalme wa wafalme (King of Kings)
Muumba wa mbingu na nchi (Creator of Heaven and earth)
Heshima zote ni zako Bwana (All honor belongs to You Lord)
Hakuna kama wewe (There is none like You)

(Refrain)

%d bloggers like this: