(Sung in Swahili)

Patakatifu pako, hapo ndipo nahitaji (In Your Holy Place, that is what I need)
Mahali pa maana, juu ya yote (The place of importance, over all others)
Katika mikono yako, mimi najiweka (I have placed myself in Your Hands)
Nizungukwe mimi, na uwepo wako (That I may be surrounded by You Presence)

Refrain:
Niambie utakalo, Bwana (Tell me what you wish, Lord)
Nipe nguvu ya kushinda majaribu, Yesu
(Grant me the strength to overcome temptations, Jesus)
Nakuhitaji Bwana, maishani Mwangu (Lord, I need You in my life) (Repeat)

Ninachohitaji Yesu, nikufurahisha roho yako
(What I need Jesus, is to please Your Spirit)
Wewe rafiki mwema, uliye nipenda (Unaye tupenda)
(You are a Good Friend, who loved me (who loved us))
Kwa ajili yako Yesu, sisi tumekombolewa
(We are saved because of You, Jesus)
Kuwa na wewe Yesu, yashinda yote
(Being with You is better than anything else)
(Repeat)

(Refrain)

Oh Yesu, neno lako lasema (Oh Jesus, Your words says)
Siku moja katika utukufu wako (One day in your Holiness)
Yazidi miaka elfu duniani (Is better than a thousand on earth)
Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako (Jesus help me to be in You Holiness)
Siku zote za maisha yangu (All the days of my life)

Nahitaji mkono wako, niongozwe na wewe Bwana
(I need Your Hand, to be led by You, Lord)
Kimbilio, msaada wa karibu, ni we, ni we, ni we
(My refuge, my close help, is You, is You, is Yo)
(Repeat)

(Refrain)