Urukundo rw’Umukiza (The Savior’s Love) Hymn Lyrics by Papi Clever and Dorcas ft Merci Pianist

Leave a comment


(Sung in Kinyarwanda – A Hymn)

Urukundo rw’Umukiza (The Redeemer’s Love)
Ni nk’amazi menshi cyane (Is like an abundance of water)
Ameze nk’isoko nziza (He is like a beautiful wellspring)
Idudubiza muri we (That flows through him) (Repeat)

Refrain:
Yesu ni we wuguruye (Jesus is the one who)
Rwa rurembo rwo mw’ijuru (Open the gates of heaven)
Kugira ngo ndwinjiremo (That I may enter)
Kubw’ubuntu bwinshi agira (By His Great Grace)  (Repeat)

Nababay’iminsi myinshi (For many days)
Nasaga n’inyoni ihigwa (I was like bird of prey)
Natakiy’Umwami Yesu (My heart cried for Lord Jesus)
Nawe ntiyanyirukanye ( And He did not cast me away) (Repeat)

(Refrain)

Mwiyumvir’igitangaza (Think of the miracle)
Yanyogej’ibyaha byose (He cleansed me of all sins)
Kuber’ubwo bunt’agira (Because of that grace)
Ndirimban’ umunezero (Today I sing with joy) (Repeat)

(Refrain)

Mu gitondo cy’agakiza (In the morning of salvation)
Nzagera mur’iryo rembo (I will arrive at that gate)
Kubera urukundo afite (Because of his Love)
Nzinjira mur’uwo murwa (I will enter that city) (Repeat)

(Refrain)

Kugira ngo ndwinjiremo (That I may enter)
Kubw’ubuntu bwinshi agira (By His Great Grace)  (Repeat)

Bora Kushukuru (Better to Give Thanks) Lyrics by Obby Alpha

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Bora hata nimshukuru Mungu, kwa hivi nilivyo
(It is good to thank God for how I am)
Maana hata kuna wengine hawajafika nilipo
(For there are many who have not arrived where I am)
Bora hata nimshukuru Mungu kwa hiki nilichopata
(It is good for me to give thanks for what I have received)
Maana hata kuna wengine wamekosa kabisa
(For there are others who have lacked completely)

Tabasamu njoo, nataka nibadili (Joy come, I want to change)
Wangu mtazamo niwaze kitajiri (My vision to think of success)
Na wewe maumivu njoo, nataka nibadili (And you sorrow come, I want to change)
Wangu msimamo, niishi kijasiri (How I stand, to live courageously)

Ile habari ya kulialia, kila siku nakataa (I reject the news of crying every day)
Na kama nilisainiwa, mkataba nafuta (And if I signed it, I renege of the agreement)
Ndugu tul’owasaidia, wakaficha makucha (The brothers that we helped, had hid their claws)
Wao walipofanikiwa, wakataka kutushusha (When they succeeded, they wanted to lower us)

Bridge:
Nafuta zile (I reject the cries of): why me, why me?
Sijapata kwanini? Kwanini? (Why have I not received?)
Najawa ujasiri, ujasiri (I am filled with courage)
Nitapata na mimi, na mimi (That I shall also receive) (Repeat)

(Refrain)

Na nilipo, huenda kuna wengine wanapatamani
(It could be that there are those who desire to be where I now stand)
Zamani huko, nilishakataliwa na watu wa nyumbani
(In the past, I was rejected by my own people)
Kile kidogo, ninacholalamika lakini nimepata
(I complained of the little I had, but I had it)
Wengine huko, wamepambana wamekosa kabisa
(While others have tried and not received even a little)

Kumbe ni bora, kuridhika na hiki (Truly it is good to be satisfied with this)
Nilichopata, ndio yangu ridhiki (That I have received,  for it is my satisfaction)
Mungu ni bora, yeye hatabiriki (Good is Good, He cannot be predicted)
Amekupa hicho mi amenipa hiki (He has granted you that, and given me this)

(Bridge + Refrain)

Jabulani Sesingabantwana (Rejoice for We are His Children) Lyrics by Xolly Mncwango (Icilongo LeVangeli Hymn 64)

Leave a comment


(Sung in Zulu – A Hymn)

‘Jesu Kristu, ulithemba lethu (Jesus Christ You are our hope)
Nokuthula, uyasipha khona (Our Peace, He generously provides)
Nefa lethu, ligcinw’ ezulwini (Our inheritance is stored in heaven)
Lingethintwe, amasela lona (Untouchable to thieves)

Nant’ ithemba, labo abendulo (Here is the Hope of the Ancients)
Balibheka, selaphum’ obala (They beheld it when it was reveled)
Njengelanga, lon’ eliphezulu (Just like the sun above)
Ngob’ uJes’ ulibo lokuqala (Because of Jesus, the first born)

Nguy’ uKristu, owanqob’ ukufa (It is this Christ who conquered death)
Nay’ umninikufa, wamahlula (The dead were separated from Him)
Wavuk’ ethuneni, Haleluya! (He rose from the grave, Hallelujah!)
Imivalo, yonke wayaphula (He broke all the yokes)

Bazalwane, masiye phambili (Brethren, let us go forwards)
Sizohlangabez’ uMyeni wethu (We will meet our bridegroom)
Siyoholwa, uMoya oyiNgcwele (We will be led by the Holy Spirit)
Sizonqoba ngay’iNkosi yethu (We will win through Our Lord)

Wavuk’ ethuneni, Haleluya! (He rose from the grave, Hallelujah!)
Imivalo, yonke wayaphula (He broke all the yokes)

Nefa lethu, ligcinw’ ezulwini (Our inheritance, is stored in heaven)
Lingethintwe, amasela lona (It is untouchable, to thieves)

Jabulani! sesingabanthwana (Rejoice! For we are His children)
AbeNkosi, sesinofakazi (Lord, we have witnesses)
Silubonga, loluthando, Baba (Thank You for Your Love, Father)
UMsindisi wethu sesimazi (For We know who our Savior is) (Repeat)

Silubonga, loluthando, Baba (Thank You for Your Love, Father)
UMsindisi wethu sesimazi (For We know who our Savior is) (Repeat)

Nefa lethu, ligcinw’ ezulwini (Our inheritance is stored in heaven)
Lingethintwe, amasela lona (Untouchable to thieves) (Repeat)

Sikiliza (Listen) Lyrics by Israel Mbonyi

4 Comments


(Sung in Swahili)

Kwa sasa ya dunia (Now the earthly things)
Kwangu ni kama yameangikwa (For me, they are now crucified)
Yaliyokuwa faida (What was gainful to me)
Nayahesabu kama hasara (I count them all as loss)
Sikiliza dunia, ujue kwamba mimi si wako (Listen world, and know that I do not belong to you) x2

Refrain:
Nimehesabiwa haki (I have been justified)
Kwa damu yake Mtetezi (By the Blood of  The Advocate)
Jina langu limeandikwa (My name has been written)
Kwenye Kitabu cha Uzima (In the Book of Life)
Sikiliza dunia, ujue kwamba mimi si wako (Listen world, and know that I do not belong to you) x3

(From the Top)

Sasa maumivu hayanitishi (Now I am not afraid of my suffering)
Nitayasahau kwa Yesu (Because I will forget at Jesus’)
Haijadhihirika nitakavyokuwa (It has noy yet been revealed what I shall be)
Tutafanana akidhihirika (We shall be like like Him when He makes himself known)
Ewe mbingu, yakiri haya maneno (Oh world, heed these words)
Ai we! Kweli dunia Mi si wako (Ai We! Truly world, I do not belong to you)

(Refrain)

Oh… ujue kwamba mimi si wako (Oh… know that I do not belong to you) x?

Bwana U Sehemu Yangu (Lord Thou Art My Portion) Hymn Lyrics by Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist

Leave a comment


(Sung in Swahili – A Hymn)

Pamoja na wewe (Together With You) x2
Katika safari yangu Tatembea na wewe  (In my journey, I shall walk with You) (Repeat)

Katika safari yangu Tatembea na wewe  (In my journey, I shall walk with You) x3

Bwana u sehemu yangu, Rafiki yangu wewe (Lord You are my Portion and Friend)
Katika safari yangu, tatembea na wewe (In my journey, I shall walk with You)

Pamoja na wewe (Together With You) x2
Katika safari yangu Tatembea na wewe  (In my journey, I shall walk with You) (Repeat)

Katika safari yangu Tatembea na wewe  (In my journey, I shall walk with You) x2

Mali hapa sikutaka, Ili niheshimiwe  (I did not seek wealth here, that I could be respected)
Na yanikute mashaka Sawa sawa na wewe (And though I have doubts, it is well with You) (Repeat)

Pamoja na wewe (Together With You) x2
Heri nikute mashaka Sawa sawa na wewe (Though I have doubts, it is well with You) (Repeat)

Heri nikute mashaka Sawa sawa na wewe (Though I have doubts, it is well with You) x2

Niongoze safarini, Mbele unichukue (Lead me on my journey, go ahead of me)
Mlangoni kwa Mbinguni Niingie na wewe (At the heaven’s door, let me enter with you) (Repeat)

Pamoja na wewe (Together With You) x2
Mlangoni kwa Mbinguni Niingie na wewe (At the heaven’s door, let me enter with you) (Repeat)

Mlangoni kwa Mbinguni Niingie na wewe (At the heaven’s door, let me enter with you)
Katika safari yangu, tatembea na wewe (In my journey, I shall walk with You) x3

Older Entries Newer Entries