Tulizo (Comforter) Lyrics by Adawnage Band

3 Comments(Sung in Swahili)

Kwa kweli ulinipenda nikiwa bado sijakujua (You loved me before I knew You)
Ukanipa mwanga wako nisije kwamba nikateleza (You gave me Your light that I may not slip)
Ukaniita mwana wako, vidonda vyote ukaviziba (You called me you son, and healed all my wounds)
Na sasa niko huru, lawama yote ulijitwika (Now I am free, for You bore all my blame)

Refrain:
Ni wewe tu, muumba vyote ulinipenda (It is only You, Creator of All who loved me)
Ni wewe tu, maisha yangu kafanya mapya (It is only You, who has renewed my life)
Ni wewe tu, tulizo wa moyo wangu (It is only You, who comforts my soul)
Ni wewe, ni wewe ni wewe (It is You) x2

Nauliza, nimuishie nani mimi (I ask, who else should I go to?)
Nauliza, nimuabudu nani mimi (I ask, who else should I worship?)
Jehovah nimenyosha mikono, nitakuabudu milele (Lord I have lifted my hands, I’ll worship you forever)
Muweza, unaweza, na hakuna kama wewe (You are Powerful, and able, there’s no one like You)
Nauliza, nimkimbilie nani mimi? (I ask, who else should I run to?)
Nauliza, nimuogope nani mimi? (I ask, who else should I fear?)
Masiya, hakuna haya ya kukimbilia wewe (Messiah, there is no shame in running to You)
Kwa maana nimeona hakuna kama wewe (For I have seen that there is none like You)

(Refrain)

Hakuna, hakuna, mwenye penzi kama lako Baba (There is no love like your Love, Father)
Hakuna, hakuna, baraka kama zako wewe (There are no blessings like Your blessings)
Hakuna, hakuna, aliyenifia ila wewe (There is no one else who died for my sake, but You)
Hakuna, hakuna, ee ee (There is none)

(Refrain)

Safari Lyrics by Adawnage Band

Leave a comment
Safari, hii safari ni ndefu boy
Safari, hii safari ni ngumu boy
Safari, hii safari oh
Safari, si tu safarini…..

Niko safarini kaza mwendo, ninakaza mwendo
Najikaza kabisa aah
Niko safarini kaza mwendo, ninakaza mwendo
nipate taji la maisha, aah (repeat)

Hili taji la maisha (aah), Taji la maisha (aah)
NIpate taji mie eh hee, Taji la maisha

Niko safarini kaza mwendo, ninakaza mwendo
Najikaza kabisa aah
Niko safarini kaza mwendo, ninakaza mwendo
nipate taji la maisha, aah (repeat)

Taji la maisha (aah), Taji la maisha (aah)
Nipate taji mie (aah), Taji la maisha (aah)

Vuum vuum vumm vumm, vuuuuum
vumm vumm vumm vumm, vuuuumm
vumm vumm vumm vumm, vuuuumm
vumm vumm vumm vumm, vuuuumm

Safari yetu kakatizwa, tukakwama njiani
Lakini bado tunasonga, songa mbele
Safari yetu kakatizwa, tukakwama njiani
Lakini bado tunasonga, songa mbele
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende

Shida shida na matatizo, na mashimo njiani
Lakini kagundua mwendo, ni aste aste
Shida shida na matatizo na mashimo njiani
Lakini kagundua mwendo, ni aste aste
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende

Vuum vuum vumm vumm, vummvumm
vumm vumm vumm vumm, vummvumm
vumm vumm vumm vuuuumm ,vummvumm

Pastor Peter na batoto ba dawn Age bameamemuka
Ai eh eh eh eh eh, eh eh eh eh eh
Ai eh eh eh eh eh, eh eh eh eh
Ee batoto ba dawn age eh, batwende safari
Batoto ba dawn age eh, batwende safari
Batoto bato bato ba dawn age eh, batwende safari

%d bloggers like this: