Watangoja Sana (They Will Wait A Long Time) Lyrics by Annastacia Mukabwa

1 Comment(Sung in Swahili)

Response: watangoja sana (They will wait a long time)
Wanaongoja kuanguka kwako (Those who wait for your falling)
Wanaongoja kushindwa kwako (Those who wait for your defeat)
Wanaongoja umuache Yesu (Those who wait for you to abandon Jesus)
Wanaongoja uharibikiwe wacheke (Those who wait for your failure, that they may laugh)

Wambie pole, pole, pole (Tell them sorry, sorry, sorry)
Ninaye Yesu, ninaye mwokozi (I have Jesus, I have a Savior)
Waambie pole, pole, pole (Tell them sorry, sorry, sorry)
Watangoja sana (They will wait a long time)

Yesu alipokufa akazikwa kaburini (When Jesus died and was buried)
Wengi walicheka sana (A lot of people laughed)
Wengine walisema (Others scoffed)
“Si unajifanya ni mwana wa Mungu” (“If You are the son of God”)
“Hebu jifufue tukuone” (“Then resurrect yourself, that we may see”)
Waliweka na walinzi walinde kaburi (They put guards to guard the tomb)
Ili Yesu asifufuke (That Jesus may not ressurect)
Waliweka na jiwe kubwa, pale kaburini (They placed a huge rock on the tomb)
Ili Yesu asifufuke (That Jesus may not resurrect)
Siku ya tatu ilipofika (When the third day came)
Walinzi walishangaa (The guards were amazed)
Yesu hayupo kaburini (That Jesus was not in the tomb)
Siku ya tatu ilipofika (When the third day came)
Walinzi walishangaa (The guards were amazed)
Yesu hayupo kaburini, amefufuka (That Jesus was not in the tomb, He had risen)

Response: watangoja sana (They will wait a long time)
Wanaongoja matanga yako, (Those who await your funeral)
Wanaongoja urudiwe kwenyu nani wateleza (Those who await your backsliding)
Wanaongoja ufutwe kazi wacheke (Those who await your firing that they may laugh)

Wambie, pole, pole, pole (Tell them sorry, sorry, sorry)
Niinaye yesu (I have Jesus)
usibabaike mimi nalindwa na Jehova (Don’t worry about me, I am guarded by the Lord)
Ananipigia vita (He fights on my behalf)
Watangoja sana (They will wait a long time)

Eh ni Mungu pekee yake (It is to God alone)
Analalamishwa juu yako (That is complaint on about you)
Hakuna silaha itainuka (There is no weapon)
Kinyume chako ifanikiwe (That rises against you that shall prospoer)
Maneno ya watu yasikuvunje moyo (Peoples word should not break your heart)
Tegemea we utashinda, utashinda (Depend on Him, and You will succeed)

Response: watangoja sana (They will wait a long time)
Wanaongoja kuanguka kwako (Those who await your falling)
Wanaotaka ndoa yako ivunjike wacheke (Those who await your divorce, that they may laugh)
Wanaotamani ufilisike wacheke (Those who await your poverty that they may laugh)
Wanaosema utakufa bila kuzaa mama (Those who say you will die barren, mother)

Waambie pole (Tell them, sorry)
Ninalindwa na jeshi la mbinguni (I am guarded by the heaven’s army)
Wambie, pole, pole, pole (Tell them, sorry, sorry, sorry)
Watangoja sana (They will wait a long time)

Response: watangoja sana (They will wait a long time)
Wanasema hautaolewa (Those who say that you will never be married)
Wanasema utashindwa na elimu (Those who say that you will be defeated by education)
Wanaofitini ushukishwe cheo (Those who conspire against you that you’d be demoted)
Wanaosema huwezi fika popote (Those who say that you will never reach anywhere)

Waambie, pole, pole, pole (Tell them sorry, sorry, sorry)
Wanaotabiri, wanaokuwazia (Those who prophesy against you)
Watangoja sana (Will wait a long time)
Ninaye Yesu, nasonga mbele (I have Jesus, I am moving onwards)
Nyuma sirudi tena (I am not turning back)
Watangoja sana (They will wait a long time)

Tabu zangu (My Troubles) lyrics by Rose Muhando & Annastazia Mukabwa

10 Comments(Sung in Swahili)

Haleluya naitazamia mbingu mpya na nchi mpya
(Halelujah I look to the new heaven and earth)
Huko nitapumzika milele (There I will rest forever)

Taabu zangu zikiisha, nitamwona Bwana wangu
(When my troubles are over, I will see my Lord)
Akinikaribisha kule, karibu upumzike
(When he welcomes me there, “welcome to the rest”)
Hapa ndipo nyumbani kwako, hapa ndipo mahali pako
(“Here is your home, this is your place”)
Hapa ndipo makao yako, karibu upumzike
(This is your home, welcome to the rest)

Haleluya nitaketi kwa furaha, nitapumzika kwa mungu, nitapumzika
(Halelujah I will sit with joy, I will rest with my God, I will rest)

Nitavikwa mavazi meupe, nitavikwa taji ya ushindi
(I will be clothed with white garments, I will be crowned victorious)
Taabu zote na mateso yote, hakika vitakoma
(All my troubles and tribulations, will end for sure)
Nitaungana na malaika, maserafi na makerubi
(I will join with the angels, the Seraphim and Cherubim)
Tukiimba nyimbo za ushindi, haleluya usifiwe
(While we sing songs of victory, Halelujah be praised)

Naona mbingu zimefunguka, na Yesu yu mkono wa kuume
(I see the heavens open, and Jesus sitting at the right hand)
Akinitazama kwa upole, kwa macho yenye huruma
(Looking at me with compassionate eyes) x2

Tatazama vidonda vyangu, tatazama makovu yangu
(He will take care of my wounds, He will take care of my scars)
Niloumizwa duniani, na watu wa ulimwengu
(That I was hurt in the world, by the worldly) x2

Tachukua kitambaa, atanifuta machozi
(He will take a cloth, and wipe my tears)
Akisema pole mwanangu, Yesu tanikumbatia
(Saying I’m sorry my child, Jesus will embrace me)

Bado kitambo kidogo, nitapumzika
(Just for a little while, then I will rest)

Yesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhai
(Jesus will take me, to the wellspring of life)
Huko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpya
(There he will wash my body, and be given a renewed one)
Nami nitaimba hosana, hosana ndiye mbarikiwa
(And I will sing Hosannah, Hosannah is the blessed one)
Nitaruka kama ndama, milele hata milele
(I will jump like a calf , forevermore) x2

Tavumilia, kwa ajili yako Baba
(I will persevere for your sake father)

Yatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumu
(Enough of the oppression, enough of the persecution)
Yatosha walivyokupiga, karibu upumzike
(Enough of the beating, welcome and rest) x2

Yatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukana
(Enough of the hurt, enough of the insults)
Yatosha walivyokuzomea, karibu upumzike
(Enough of the rebukes, welcome and rest) x2

Haleluya, mateso yangu yakiisha nitauona uso wa Mungu
(Hallelujah, when my persecutions end, I will see the face of God)
Nitamwona Yesu niliyepigwa kwa ajili yake
(I will see the Jesus I was beaten because)

Yatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumu
(Enough of the oppression, enough of the persecution)
Yatosha walivyokupiga, karibu upumzike
(Enough of the beating, welcome and rest) x2

Yatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukana
(Enough of the hurt, enough of the insults)
Yatosha walivyokuzomea, karibu upumzike
(Enough of the rebukes, welcome and rest) x2

Yesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhai
(Jesus will take me to the wellspring of life)
Huko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpya
(There he will wash my body, I will be given a new one)

Baada ya taabu, ni furaha
(After troubles is joy)

%d bloggers like this: