Hodi Hodi (Knock Knock) Lyrics by Esther Wahome

Leave a comment


Chorus:
Hodi hodi, anabisha hodi hodi
Hodi hodi, anabisha hodi hodi fungua
Hodi hodi, anabisha hodi hodi
Hodi hodi, anabisha hodi hodi fungua

(Chorus)

Aingiapo unakuwa kiumbe kipya
Aingiapo atawala pekee yake
Aingiapo Anavunja nira zote
fungua fungua anabisha hodi hodi

(chorus)

Hii ndiyo siku ya wokovu wako mama
Hii ndiyo siku Ya uhuru wako baba
Hii ndiyo siku ya furaha yako wewe
fungua fungua anabisha hodi hodi

(Chorus)

Huu ndiyo mwisho wa mateso yako ndugu
Huu ndiyo mwisho machozi yako wewe
hata shetani atambua hivyo sasa
Fungua fungua anabisha hodi hodi

(chorus)

Mpokee mfalme wa wafalme
mpokee atawale maisha yako
Ndio pekee anaweza mambo yote
fungua funfua anabisha hodi hodi

Minyororo (Chains) lyrics by Esther Wahome

Leave a comment


Miguu na mikono umefungwa, Mawazo yako yamefungwa
Macho umefungwa hauoni,Roho yako pia imefungwa
Yesu ana ufunguo, usife moyo

Jela ya shetani, minyororo minyororo
Yesu afungua minyororo minyororo
Jela ya shetani, minyororo minyororo
Yesu afungua minyororo minyororo

Njaa na kiu kwenye jela, Mateso mengi ya kutisha
Wewe mtupu hauna kitu,Magonjwa pia yamekusonga
Yesu ana ufunguo wa huo jela

Mpango wa shetani kwenya jela,Ni kuiba tena na kuharibu
Mshahara wake yeye ni mauti, Kubali Yesu yeye akuweke huru
Akutoe jela ya shetani

Jela ya shetani, minyororo minyororo
Yesu afungua minyororo minyororo
Jela ya shetani, minyororo minyororo
Yesu afungua minyororo minyororo

Wazee tokeni hiyo jela, wamama tokeni hiyo jela
Vijana tokeni hiyo jela, watoto tokeni hiyo jela
Jela ya hukumu, jela ya mauti

Jela ya shetani, minyororo minyororo
Yesu afungua minyororo minyororo
Jela ya shetani, minyororo minyororo
Yesu afungua minyororo minyororo