Ni Wewe (It’s You) Lyrics by Guardian Angel and Esther Wahome

1 Comment


(Sung in Swahili)

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
(You are the one sitted on the Throne of Glory )
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe
(Be praised, You deserve the Glory)

Wa kupewa sifa ni wewe (You deserve the praise) x2
Wa kuabudiwa ni wewe (You deserve the worship) x2
Wa kuhimidiwa ni wewe (You deserve the praise) x2
Wa kuheshimiwa ni wewe (You deserve the honor) x2

Uliye mwalimu bila shahada (The teacher without a degree)
Uponyeaye bila kusomea dawa (The healer that did not study medicine)
Pokea hii sadaka ya juu Bwana (Receive our Highest Praise Lord)
Pokea sala zetu Baba (Receive our prayers Father)
Utuondoleae lawama (The one who removes our blame)
Uliyeumba wala hukuumbwa (The Creator, not the created)
Si ni wewe? (Wasn’t it You?) x3
Ni wewe (It’s You)

(Refrain)

Pokea sifa zetu Bwana (Lord receive our praise) x2
Tunakuabudu Bwana (Lord we worship You) x2
Tunakuheshimu Bwana (Lord we honor You) x2
Wa kuabudiwa ni wewe (You deserve all the worship) x2

(Refrain)

 

Advertisement

Damu (Blood) Lyrics by Esther Wahome

Leave a comment


Sioshwi dhambi zangu, bila damu yake | What can wash away my sins, but his blood
Nahitaji kabisa, dawa ya makosa yangu | I need it completely, the cure for my sins
Ndiposa nakimbia pale msalabani | Thus I run to the cross
Haya initakase, damu ya mkombozi | That it may cleanse me, the blood of my savior

Damu, damu, damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood
Damu, damu, damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood

Sipati patanishwa, bila damu yake | I cannot find any solution, without his blood
Hukumu yanitisha, ila hiyo damu | Judgement would scare me, if it wasnt for that blood
Ndipo namlilia, aliye mwaga damu | thus I cry to him, the one who spilled his blood
Sasa initakase, damu ya mkombozi | That it may cleanse me, the blood of my savior

Damu, damu, damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood
Damu, damu, damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood

Sipati tumaini, bila damu yake | There would be no hope, if it wasnt for his blood
wema wala amani, pia na usalama | Goodness or peace, and safety
Ndipo namtazama, huyu mwana kondoo | Thus I look to him, the lamb
Ili initakase, damu ya mkombozi | That it may cleanse me, the blood of my savior

Damu, damu, damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood
Damu, damu, damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood

Yahweh by Esther Wahome

Leave a comment


Malaika wamwimbia wakisema hosana (The angels sing to him hailing hosanna)
Maserufi juu mbinguni wote wanamwabudu (The seraphim in heaven all worship him)
wazee ishirini na nne wote wanamwinamia (24 elders all bow to him)
Kila ulimi unakiri Yahweh ni Mungu (Every tongue confess that Yahweh is God)

Yahwe ni Mungu wa miungu,Yahwe ni Mungu wa miungu (Yahweh is God of gods)
Yahwe ni Mungu wa miungu, Haleluya (Yahweh is Lord of lords)

Mataifa ya dunia yote yanamtambua (All nations of the world agree)
WAnadammu duniani wote wanamkimbilia (All mankind in the world run to him)
Tazameni mataifa yote yanamsujudia (Look at all the nations all bow to him)
Kila ulimi unakiri Yahweh ni Mungu (All tongues confess that Yahweh is God)

Yahwe ni Mungu wa miungu, Yahwe ni Mungu wa miungu (Yahweh is God of gods)
Yahwe ni Mungu wa miungu, Haleluya (Yahweh is God of gods)

Hata ndege wa angani wote wanamwimbia (Even the birds above all sing to him)
Viumbe vyote vyenye uhai vinamshangilia (All creatures with life all praise him)
Hata wazee na watoto wote wamfurahia (Even old me and children are glad of the name)
Kila ulimi unakiri Yahweh ni Mungu (All tongues confess that Yahweh is God)

Yahwe ni Mungu wa miungu, Yahwe ni Mungu wa miungu (Yahweh is God of gods)
Yahwe ni Mungu wa miungu, Haleluya (Yahweh is God of gods)

Hodi Hodi Lyrics by Esther Wahome

Leave a comment


Chorus:
Hodi hodi, anabisha hodi hodi
Hodi hodi, anabisha hodi hodi fungua
Hodi hodi, anabisha hodi hodi
Hodi hodi, anabisha hodi hodi fungua

(Chorus)

Aingiapo unakuwa kiumbe kipya
Aingiapo atawala pekee yake
Aingiapo Anavunja nira zote
fungua fungua anabisha hodi hodi

(chorus)

Hii ndiyo siku ya wokovu wako mama
Hii ndiyo siku Ya uhuru wako baba
Hii ndiyo siku ya furaha yako wewe
fungua fungua anabisha hodi hodi

(Chorus)

Huu ndiyo mwisho wa mateso yako ndugu
Huu ndiyo mwisho machozi yako wewe
hata shetani atambua hivyo sasa
Fungua fungua anabisha hodi hodi

(chorus)

Mpokee mfalme wa wafalme
mpokee atawale maisha yako
Ndio pekee anaweza mambo yote
fungua funfua anabisha hodi hodi

Hachagui Lyrics by Esther Wahome

Leave a comment


Chorus:
Hachagui kabila, hachagui taifa
Hachagui tajiri, wote awapenda
Hachagu kabila, hachagui taifa
Hachagui tajiri, wote awapenda

Nilisikia kuna mpenzi ambaye hachagui
wote awapenda, wote awajali
Nilimpa maisha yangu nayo yakawa sawa
Ni mwanaume wa wanaume, hachagui hachagui

(Chorus)

Nilianza safari kwa mataifa mbalimbali
Ili nitangaze yesu na matendo yake
Wamekubali wamesema yesu ni namba moja
Ni mwanaume wa wanaume, hachagui hachagui

(Chorus)

Natangazia wazee pia na vijana
Kwani huyu mpenzi, hachagui miaka
Hata watoto anasema, wote waje kwake
Ni mwanaume wa wanaume, hachagui hachagui

(Chorus)

Nampenda huyu mpenzi aliyenipenda mbele
Tena alijitoa afe kwa ajili yangu
Damu yake alimwaga ili nisipotee
Ni mwanaume wa wanaume,

(Chorus)

Natangaza hachagui, huyu yesu awapenda eh oh
Awapenda wote, huyu yesu
Awajali wote, haleluyah
Awajali wote

(Chorus)

Older Entries

%d bloggers like this: