(Sung in Kiswahili)

Kwa jina la Baba (In the Name of the Father)
Na la Mwana (And of the Son)
Na Roho Mtakatifu (And of the Holy Spirit)

Sifu jina  (Praise the Name)
la Baba, na la Mwana, a Roho Mtakatifu  (Of the Father, the Son, and the Holy Spirit)
Ihimidiwe Jina  (Blessed be the Name)

Refrain:
Repeat: Ya Msalaba, Ishara ya msalaba  (The Sign of the Cross)
Ishara  (The sign) x2
Ni alama yetu  (Is our symbol)
Ya ukatoliki (Of Catholicism)
Hufungua sala (It opens prayers)
Na kufunga sala (And closes prayers)
Utambulisho halisi wa ukatoliki (It is true identity of a Catholic)

Tunatambulika kwa hiyo popote tunapokuwa
(We are identified by it wherever we are)
Tunafanyika washahidi wa imani yetu mahali popote
(We are witnesses of our faith everywhere)

(Refrain)

Tunamwita Mungu kwa hiyo kabla ya jambo lolote
(We call to God by it before any action)
Kusudi kila tufanyalo liwe na nguvu ya sadaka ya msalaba
(The intent to give it the power of the Cross’ offering)

(Refrain)

Tunahitimisha kwa hiyo baada ya jambo lolote
(We close with it after any actions)
Kusudi likawe kwa sifa ya Mungu katika Utatu Mtakatifu
(The intent for it to be praise to God in the Holy Trinity)

(Refrain)

Tunaheshimika kwa hiyo, kwani ni thamani yetu
(We are honored by it, for it is our treasure)
Ukatoliki, fumbo la msalaba wa Yesu katika Utatu Mtakatifu
(Catholicism, the mystery of the cross of Jesus in the Holy Trinity)

(Refrain)

Utambulisho wangu, wa ubatizo wangu (The identity of my baptism)
Kufanya nafsi yangu, imkumbuke Mungu (To remind my self to remember God)
Katika mambo yangu, awe wa kwanza Mungu (That He would be first in all my works)

Niamkapo napiga ya ishara ya msalaba
(When I rise, I make the sign of the Cross)
Nitokapo, mimi napiga ishara ya Msalaba
(When I leave, I make the sign of the Cross)
Nikila na kinywa tena napiga ishara ya Msalaba
(When I eat and drink, I make the sign of the Cross)
Ninaporudi bado napiga ishara ya Msalaba
(When I return, I make the sign of the Cross)
Ninapolala kwa kila kitu napiga ishara ya Msalaba
(When I sleep, for everything I make the sign of the Cross) (Repeat)

(Refrain)