Mungu wa Ishara (God of Signs) Lyrics by Kathy Praise

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Repeat: Mungu wa ishara (God of Signs)
Moyo wangu ukuinue (May my heart lift you)
Dhabihu yangu uipokee (And You to receive my sacrifice)
Umetenda mambo makuu (For You have done great things)
Hakika wewe ni Mungu (Truly You are God)

Kama ulivyotenda hapo mwanzo (As you did before)
Tenda tena (Do it again)
Mungu mwenye nguvu, haushindwi kamwe (Almighty God, You are undefeated)
Tunakutazamia (We look up to You)

Ulifufua wafu, na kuponya magonjwa (You raised the dead, and healed the sick)
Vipofu wakapata kuona (The blind begain to see)
Yote ukiyatenda, kwa utukufu wako (You did it all, in Your holiness)
Yesu twakuabudu (Jesus we worship You) (Repeat)

Refrain:
Mungu wa ishara, Mungu wa miujiza, tunakuabudu
(God of signs, God of wonders, we worship You)
Mungu wa ishara, Mungu wa Miujiza, tunakuabudu
(God of signs, God of miracles, we worship You) (Repeat)

Wewe ni Mungu muweza yote, usiyeshindwa
(You are an Almighty God, who cannot be defeated)
Ishara zako twaona, nguvu zako twaona Yahweh!
(We see Your signs, Yahweh we see your Power)

Repeat: Oh, Tenda tena Baba (Oh do it again, Father)
Kama ulivyo ahidi, tenda (Just like You promised, do it)
Tasa uwape watoto, tenda (Give children to the barren, do it)
Waliofungwa, kukataliwa, Jehovah, tenda (To the incarcerated, the rejected, Lord do it)
Waliyolaaniwa vunja laana, tenda Muujiza tukuone (Break the curses of the cursed, do wondrous things that we may see You)

(Refrain)

Wewe ni Mungu usiyeshindwa, tunakuabudu
(You are an Undefeated God, we worship You)
Wewe ni Mungu usiyelala, tunakuabudu
(You are God who does not sleep, we worship You)
Wewe ni Mungu usiyebadilika, tunakuabudu
(You are an Unchanging God, we worship You)
Wewe ni Mungu muweza yote, tunakuabudu
(You are an Almighty God, we worship You) (Repeat)

(Refrain)

Usikiaye Maombi (The One Who Hears Prayers) Lyrics by Kathy Praise

Leave a comment


(Sung in Swahili)

There is a God in heaven who hears all of
There’s a God in Heaven, who answers all our prayers
Whenever we pray, he hears, and He answers
Whenever we prays, he hears all our prayers

Yupo Mungu mbinguni (There is a God in Heaven)
Asikiaye maombi yetu (Who hears our prayers)
Yupo Mungu mbinguni (There is a God in heaven)
Ayajibuye maombi yetu (Who answers our prayers)

Tunaopoomba, asikia, anajibu (When we pray, He hears and He answers)
Tunapoomba, asikia maombi yetu (When we pray, He hears our prayers)
Tunaopoomba, asikia, anajibu (When we pray, He hears and He answers)
Tunapoomba, asikia maombi yetu (When we pray, He hears our prayers)

Usikiye maombi (The One who hears our prayers)
Ujibuye kwa moto (The One who answers with fire)
Bwana, u mwaminifu (Lord, You are faithful)
Usikiye maombi (The One who hears our prayers)
Ujibuye kwa moto (The One who answers with fire)
Baba, u mwaminifu (Father, You are faithful) (Repeat)

(From the Top)

%d bloggers like this: