(Sung in Kiswahili)

Tegemeo letu ni Mungu (Our hope is on God)
Hawezi kutuangusha (He will never let us down)
Wakati wengine, wanategemea nguvu zao (When others depend on their strengths)
Sisi za kwetu, zinatoka kwa Mungu (Ours come from God)
Hatima ya maisha yetu, ni mikononi mwake (Our life’s fate are in His hands)
Maana ametuchora kwenye viganja vyake (For He has drawn us on His palms)

Wanadamu walinisahau (People forgot me)
Kwenye mipango yao (In their plans)
Sababu waliona sifa ndani yao (For they elevated themselves)
Walinipo nitazama wakanidharau (And despised me)
Jambo moja najua kuhusu Mungu (But one thing I know about God)
Anasahau dhambi tu, ila si mtu (He forgives sins, and not a person)
Na vile nimefanana na yeye (And the way I am like Him)
Hawezi sahau sura yake (He will not forget His face)

Refrain:
Ah! Eh! Kwa msaada wa Mungu (Ah! Eh! With God’s help)
Tutafanya makuu (We shall do great things)
Ah! Eh! Kwa msaada wa Mungu (Ah! Eh! With God’s help)
Tutatenda makuu (We will do great things)

Maana neema yake iko juu yetu (For His grace is upon us)
Hatutaishia njiani (We shall not fall by the wayside)
Tena nguvu zake zimetufunika (And His power is over us)
Hatutaogopoa chochote (We shall not fear anything)
Palipo na milima atafanya tambarare (Where there are hills, he has made flat)
Atainyosha njia yetu (He straightens our paths)
Palipo na ugumu atafanya wepesi (Where there are hardships, he has made ease)
Hatutatumia nguvu zetu (We shall not use our strengths)
Maana atatubeba mabegani mwake, hatutaanguka (For He carries us on His shoulders, we shall not fall)

(Refrain)

(Nani Anaamini?) Mimi naamini (Who believes? I believe that)
Kwa msaada wake Mungu nitafanya makuu (With the Help of God, I shall do great things)
(Nani Anaamini?) Mimi naamini (Who believes? I believe that)
Awa msaada wake Mungu nitatenda makuu (With the help of God, I will do great things) (Repeat)