(Sung in Swahili)

Imekuwa muda sasa papa sijakuimbia Lingala Baba
(It’s been a while, that I haven’t sung Lingala to you Father)
Nimekuwa nikishughulisha na mareggea na maragga
(I have been busy with Reggae and Ragga)
Mablues zikafanya mimi n’kalala  (And The Blues sent me to sleep)
Sasa nimeamka Baba naimba Lingala (But I’m now awake and singing Lingala)
Waliniambia lingala poa nifunge mshipi juu ya tumbo
(They told me a good Lingala is by tying my belt high)
Na nijue kilingala eti “petit Lingala le eza moke” (And for me to speak Lingala like “…”)
Wakaniambia Lingala poa niongee katikati ya wimbo
(They told me a good Lingala song has a speaking part)
“Naongea, na sina kitu cha kusema” (“I speak, when I have nothing to say”)
Mimi nasema Lingala ya Yesu haikuwangi complicated
(But I say that Jesus’ brand of Lingala is not complicated)
Ukipewa kagitaa tu (When you’re given the guitar chords) x2
Unainua mikono juu, unasifu Yesu juu (You lift your hands and praise Jesus)

Refrain:
Lingala ya Yesu wangu, inaokoa (My Jesus’ brand of Lingala; saves)
Lingala ya Yesu wangu, inabariki (My Jesus’ brand of Lingala; blesses)
Lingala ya Yesu wangu, si complicated (Jesus’ brand of Lingala; is not complicated)
Unasifu x3 Yesu juu (You simply praise x3 Are Raise Jesus High)

Sio lazima utoboe kila pahali ndio msanii usikike (You don’t need piercing to be heard)
Sio lazima magari ya kifahari ndio video ishike
(No need for luxury cars for your videos to be successful)
Sio lazima ujue kilingala ndio Congo ufike
(You don’t need to know Lingala to reach Congo)
Nao madancer, nguo zimewabana, zimewabana, hiyo hapana (And the tight clothes on dancers, that’s a no)

Mimi nasema Lingala ya Yesu haikuwangi complicated
(But I say that Jesus’ brand of Lingala is not complicated)
Ukipewa kagitaa tu (When you’re given the guitar chords) x2
Unainua mikono juu, unasifu Yesu juu (You lift your hands and praise Jesus)

(Refrain)

Unasifu x3 Yesu juu (You praise x3 Are Raise Jesus High)
Sio jina lako we msanii, unasifu Yesu Juu (Not your name artist, but Jesus’)

Advertisement