Created to Praise Lyrics by Mbuvi

Leave a comment


(Languages: English, Swahili)

Sifa na zipande (Let the praises go up)
Baraka na zishuke (and the blessings come down)
I’m created to praise you, created to praise you
Huduma iende mbele (Let the evangelism move forward)
Neno litambae (And the word to advance)
I’m created to serve you, created to serve you

When the praises rise, his blessings fall
Like rain, like rain (Repeat)

Nitaiua macho yangu (I will lift up my eyes)
Nitazame milimani (And look up to the hills)
Msaada wangu watoka kwako (My help comes from you)
Nitapaza sauti yangu kwa imani (I will lift up my voice in faith)
Nikiimba sifa (Singing praise) x2

(Chorus)

Nishike (Hold Me) by Mbuvi

2 Comments(Sung in Swahili)

Intro:
Nikilemewa nishike, Nikilemewa nishike (Hold me when I am weary)
Nikilemewa nishike, Mkono Baba (Hold me when I am weary, Hold my hand Father)

Verse 1:
Adui wanizingira, rafiki kawa duni (Enemies surround me, friends left me)
Matata kanipata, mashaka kawa mengi (Trouble found me, My doubts were many)
Maovu yamezidi, wema kadhulumiwa (Evil is rampant, goodness is persecuted)
Nakulilia ee baba, iwe nategemea (I cry to you O God, to you I rely on)

Chorus:
Nikilemewa nishike, Nikilemewa nishike
(Hold me when I am weary, Hold me when I am weary)
Nikilemewa nishike, nionyeshe njia yako baba
(Hold me when I am weary, Show me your ways Father)
(repeat)

Verse 2:
Nuru yangu na wokovu, sitaogopa kitu (My light and salvation, I shall not fear)
Niwe unipaye nguvu, na kuniweka huru (It is you who gives me strength, and free me)
Wema wao na fadhili, zaniandama mie (Your goodness and mercy, follow me)
Mambo yakinizidi, ndiwe mwamba salama (When it is too much, you are the safe refuge)

Chorus (repeat x3)

Verse 3:
Kando ya maji matulivu, Wewe waniongoza (Beside quiet waters, you lead me)
Waniandalia karamu, mbele ya adui zangu (You prepare a table, before my enemies)

Nishike, nishike mkono baba… (Hold me, hold my hand Father…)

(Chorus)

%d bloggers like this: