Miracle Lyrics by Angel Magoti

Leave a comment


(Languages: English, Swahili)

Oh.. I’m a living working miracle x2

I am a miracle, a miracle
A miracle, the living miracle (Repeat)

The way you see me today, it’s a miracle x2
When I wake up every morning, it’s a miracle
The way I see today, it’s a miracle

I am the miracle x3 (Repeat)

Nikikumbuka pale umenitoa
(When I remember from whence You have brought me)
Na magonjwa mengi ul’oniponya
(And the many diseases You have healed me)
Yale Mungu umetenda
(All that You have done God)
Ni muujiza tu  (Is a miracle)
Kuwa hai, umenipa afya nzuri
(Being alive, You have granted me good health)
Na ninakwimbia zaburi  (So I praise You with psalms)

Repeat: Muujiza (Miracle)
Baba asante kwa uzima uliyonipa
(Father thank You for the life You’ve given me)
Nasema asante kwa familia yangu
(I say thank You for my family)
Kwenye magumu yote uliyonipitisha
(For the trials You’ve led me through)
Baba ahsante, na kwa sauti nzuri
(Father thank you, and with a beautiful song)

Refrain:
Hivi nilivyo, nilipo (The way I am, where I am)
Nilivyo, ni muujiza (Where I am, is a miracle) (Repeat)

Repeat: I am a miracle
You live in me and I live in you
I am child of God, forever and ever
You’ll never leave me, nor forsake me
Nakuabudu, Nimeumbwa kwa mfano wako
(I worship You, for I am created in Your image)
Nalisifu Jina lako (I praise Your Name)
Nalihimidi Jina lako, Ahsante bwana
(I praise Your Name, Thank You Lord)
Mimi ni ushuhuda Bwana, Fadhili zako zitanifuata
(Lord I am a testimony, Your Grace follows me)

(Swahili Refrain)

Miujiza (Miracles) Lyrics by Christina Shusho

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Si kwa bahati mbaya uko hai leo (It is not by chance that you are alive today)
Na si kwamba wewe ni mjanja kuliko wale waliolala (It’s not that you’re cleverer than those who are asleep)
Ila yote ni muujiza wa Mungu tu (But all this, is the miracle of God)
Ni muujiza tu (It is only a miracle)

Nikilala niamke, nikiona natembea (When I sleep and then rise, when I see myself walking)
Mwenzenu, kwangu ni muujiza (Comrade, to me it is a miracle)
Asubuhi kunakucha, Jioni iikingia (When the morning dawns, and the evening arrives)
Maisha yangu, mimi ni muujiza tu (My life, I am just a miracle)

Siku ikipita, mwezi na mwaka unakwisha (The days passes, the month and the year end)
Mimi, hii kwangu ni muujiza tu (To me, all this is a miracle)
Ewe Yesu, Ee Yesu, Bwana wangu we (Jesus, Oh Jesus, Oh my Lord)
Oh kwangu ni muujiza (All this is a miracle)

Refrain:
Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza (I am a miracle, my life is a miracle)
Ee Bwana, we kwangu ni muujiza (Oh Lord, You are my miracle)
Nikilala ni muujiza, nikiamka ni muujiza (When I sleep and when I rise, it is a miracle)
Ee Bwana, we kwangu ni muujiza (Oh Lord, to me You are my miracle)

Kuna waliolala, hawakuamka (There are those who fell asleep and never rose)
Ee Bwana naona ni muujiza (Oh Lord I see all as miracles)
Walioanza safari, hawakufika (Those who started the journey, and never arrived)
Mimi leo, najiona mi muujiza (Today, I see myself as a miracle)
Kuwa hai, kutangaza neno lako (To be alive, to spread Your Word)
Bwana kwangu, mimi ni muujiza (Lord to me, I am a miracle)
Sina sababu, ya kunyamaza (I do not have a reason to be silent)
Maana kwangu, wewe Bwana ni muujiza (For to me, You Lord are a miracle)

(Refrain)

Oh yeah, Oh Yesu we… (Oh Jesus)

(Refrain)

%d bloggers like this: