Uko Sawa (You Remain the Same) Lyrics by Alarm Ministries ft Christina Shusho

3 Comments


(Sung in Swahili)

Refrain:
Uko sawa Mungu wangu (You remain the same my God)
Mchana usiku, wewe uko sawa tu (Morning and evening, You remain the same)
Safarini hukuniacha (You did not abandon me in the journey)
Majaribuni, umenishika mkono (You held my hand) (Repeat)

Mi najua mawazo unayoniwazia (I know the thoughts You have about me)
Ni mawazo ni ya amani, wala si ya mabaya (They are good thoughts, not evil)
Kando ya maji ya utulivu huniongoza (You lead me beside still waters)
Sitaogopa mabaya, wewe u pamoja nami (I shall not fear evil, for You are with me) (Repeat)

(Refrain)

Umeniandalia, meza mbele ya watesi wangu (You have prepared a table before my enemies)
Umenipaka mafuta, kichwani pangu (You have anointed my head with oil)
Umenirehemu (You have mercy on me) (Repeat)

Wema nazo fadhili, zitanifuata mimi (Your Goodness and Mercy, shall follow me)
Nami sitanyamaza (And I shall not be silent)
Nitalisifu jina lako milele (I will praise Your name forever) (Repeat)

(Refrain)

Uko mwema Mungu wangu (You are Good, my God)
Mchana usiku, wewe uko mwema tu (Morning and evening, You are God)
Safarini hukuniacha (You did not abandon me in my journey)
Majaribuni, umenishika mkono (You held my hand) (Repeat)

Advertisement

Divai (Wine) Lyrics by Mercy Masika and Christina Shusho

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Siku ya tatu, ya harusi ya kana (On the third day in the Wedding at Cana)
Mji wa Galilaya, na mamake Yesu alikuwepo (In the town of Galilee, where Jesus mother was in attendance)
Yesu na yeye alialikwa harusini (Jesus was also a guest at the wedding)
Pamoja na wanafunzi wake (Together with His disciples)
Yesu akamwambia, “mama tuna nini nawe? (Jesus told her “woman, what do I have with You?”)
Kwani saa yangu haijawahi kuwadia” (My time has not yet come”)

Refrain:
Divai ikawaishia, mamake Yesu kamwambia (The wine ran out and Jesus’ mother told Him)
“Hakuna divai, hakuna divai, hakuna divai” (There is no more wine)
Maria akawaambia watumishi (Mary told the attendants)
“Lolote akisema, nyinyi fanyeni” (Whatever He says, you must do)

Repeat: Sintoaibika (I will not be ashamed)
Nikiwa wewe (As long as I am with You)
Mimi na wewe (Me and You)
Nikiwa pamoja na wewe (If I am with You)
Rafiki Yesu (My friend Jesus)
Jehovah Jireh (Lord my Provider)

Katika kila hali, iwe ngumu iwe shwari (In all situation, be it easy or hard)
Mungu husema (God says)
Na akisema, wala habadilishi (And what He says He does not change)
In place of shame, He’ll give you double double
In place of dishonor, He’ll give you everlasting joy
Badala ya aibu, atanipa maradufu dufu (In place of shame, He’ll give you double double)
Kwa utukufu wake, mimi naenjoy (In enjoy His Glory)

(Refrain)

Sintoaibika, sintoaibika (I will not be ashamed)
Sintoaibika, sinto sinto kamwe (I will not be ashamed) (Repeat)

Teta Nao (Contend with Them) Lyrics by Christina Shusho ft The Dreamers

1 Comment


(Sung in Swahili – Psalm 35)

Refrain:
Eh Bwana utete nao wanao teta nami (Oh Lord, contend with those who contend with me)
Upigane nao, wanao pigana nami (Fight those who fight against me)(Repeat)

Ushike ngao na kinga usimame, unisaidie (Take up your shield and armor, arise and come to my aid)
Vuta we mkuki uwapige, wanaonifuatia (Brandish your spear against those who pursue me)
Uambie nafsi yangu mimi ni wokovu wako (Say to me “I am your salvation”)
Uwatoe mkuki uwapige, oh wanao nifuatia (Brandish your javelin, against those who pursue me)
Uambie nafsi yangu “mimi ni wokovu wako” (Say to me “I am your salvation”))
Wananiuliza mambo nisiyoyajua (They question me on things I know nothing about)

(Refrain)

Waaibishwe wafedheheshwe (May they be disgraced and put to shame)
Warudishwe nyuma, wanaotafuta nafsi yangu (May they be dismayed, those who plot my ruin)
Wafadhaishwe, wawe kama makapi (May they be like chaff before the wind)
Mbele yao pepo malaika wa Bwana waangushe chini (With the angel of the Lord driving them away)

Wananilipa mabaya, badala ya mema (They repay me evil for good)
Kutwa kucha waniwinda ili niteseke (All day long, they hunt me so that I suffer)
Niko ndani yako niweke eh Mungu wangu (I am in you, preserve me, Oh my God)
Ubavuni mwako nikumbatie, Jehova wangu (Embrace me to your side, my Jehovah)
Mkononi mwako niweke, eh Mungu wangu (Hold me in your hands, Oh my God)
Ubavuni mwako nikumbatie, Jehova wangu (Embrace me to your side, my Jehovah)

(Refrain)

Njia yao iwe giza na utelezi (May their path be dark and slippery)
Malaika wa Bwana, akiwafuatia (With the angel of the Lord pursuing them)
Uharibifu uwapate kwa ghafla (May ruin overtake them by surprise)
Wa uharibifu waanguke ndani yake (May they fall into the pit they hid)
Mimi bure wasinisemange, bure wasinibonge (That they may not speak against me in vain)
Na uovu wao aloficha umnase mwenyewe (May the evil they hid, catch them)
Bila sababu amenichimbia shimo nafsi yangu (Since without cause they dug a pit for me,)
Mifupa yangu yote itasema (All my bones will exclaim)
“Bwana ni nani aliye kama wewe?” (“Who is like you, Lord?”)
Na nafsi yangu itamfurahia Bwana (Then my soul will rejoice in the Lord)

Wapendeza, Bwana wapendeza (You are exalted, Lord be exalted)
Eh Bwana wapendeza (Oh Lord, be exalted)
Katika hili najua utatenda (In this I know you will do)
Nitetee Bwana nitetee (Defend me Lord, defend me)
Eh Bwana nitetee (Oh Lord, defend me)
Katika hili najua utatenda (In this, I know you will do) (Repeat)

Litapita (It Shall Pass) Lyrics by Christina Shusho

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Nimeona hofu imetanda dunia (I have seen fear permeate the world)
Hofu imetanda dunia (Fear has filled the world)
Huku na huku mambo yamebadilika (Here and there, things have changed)
Mambo ni tofauti (Matters are different)
Tamaduni zetu si kama mwanzo (Our traditions are not like before)
Si vile tulivyozoea (It is not the way we are used to)
Aliye nacho analia, asiye nacho pia analia (Both the haves and have nots are crying)
Tajiri, masikini tumekuwa sawa (The rich and the poor, we’ve become equals)
Si vile tulivyozoea (It’s not what we are used to)

Refrain:
Hili nalo litapita ee, litapita ee (This too shall pass, it shall pass)
Hili litapita ee, kutapambazuka (This too shall pass, it shall be dawn)
Hili nalo litapita ee, litapita ee (This too shall pass, it shall pass)
Hili litapita ee, asubuhi yaja (This too shall pass, the morning is coming) (Repeat)

No situation is permanent
Nyakati huja na kupita (Seasons come and go)
Watu huja na kuondoka (People come and leave)
Kila kitu chini ya jua kina mwisho (Everything under the sun has an end)
Shida na raha zina mwisho (Troubles and joy have an end)
Yesu pekee atabaki juu (Only Jesus shall remain high)
Neno lake, milele yote (His Word, forevermore)
Yeye tu, hana mwisho (It is only Him that does not have an end)

(Refrain)

Nitendee (Do Unto Me) Lyrics by Christina Shusho

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Nitendee (Do unto me) x4
Nitendee, Nitendee eh Bwana (Do unto me, Lord)
Nitendee, Nitendee (Do unto me)

Nitendee Bwana (Do unto me Lord) x2
Nitendee nalia, nangoja (Do unto me I cry, I wait)
Nitendee, Nitendee (Do unto me)

Response: Refrain
Nitendee, Bwana tenda (Do unto me, Lord do it)
Usinyamaze (Do not be silent)
Nitendee, Bwana tenda (Do unto me, Lord do it)
Kesi yangu ya dharura, nitendee (My immediate case, do it)
Bwana tenda (Lord do it)
Bwana usikwawie, nitendee (Lord do not tarry, do unto me)
Daima uniokoe, eh Bwana (Forever save me, oh LOrd)
Fanya haraka nisaidie, eh Bwana (Hurry and help me, Oh Lord)
Adui animezea mate, eh Yesu (The enemy desires me, Oh Jesus)
Ataka kuniangamiza, eh Bwana (He wants to destroy me, Oh Lord)

Wewe mzee wa siku, naomba usikawie Yesu (Master of Time, Jesus I pray do not delay)
Nitendee, Nitendee, eh Bwana nitendee (Do unto me, Oh Lord, do unto me)
Njoo unifute machozi, Yesu unipe kicheko (Come and wipe my tears, Jesus grant me laughter)
Nitendee, Nitendee, Nitendee Bwana Nitendee, (Do unto me, Lord, do unto me)

(Refrain)

Response:Refrain
Bwana nitendee (Lord do unto me)
Nina imani nawe eh Bwana (I have faith in You Lord)
Hali yangu mashakani, eh Bwana (My situation is troublesome, Lord)
Uko wapi nisikie, eh Bwana (Where are you, Hear me Lord)
Ushike mkono wangu, eh Bwana (Hold my Hands, Oh Lord)
Nione uso wako, eh Yesu (Jesus let me see Your face)
Bwana usikawie, eh Bwana (Lord do not tarry, Oh Lord)
Njoo upesi uniokoe, eh Yesu (Come quickly and save me, Oh Jesus)

Response: Yesu Yesu Yesu (Jesus, Jesus, Jesus)
Yesu Yesu Yesu (Jesus Jesus Jesus)
Aye Aye (Yes, yes)
Ni mzuri sana (He is Good)
Yeye anaweza (He is able)
Yeye ana nguvu (He is Mighty)
Aye, aye (Yes, yes)
Yesu, Yesu, Yesu (Jesus, Jesus, Jesus)

Mwite (Yesu) (Call Him (Jesus))
Nani (Yesu) (Who?(Jesus))
Aye Aye (Yes Yes)
Piga kigelegele (Make some noise)

(Refrain)

 

Older Entries

%d bloggers like this: