(Sung in Swahili – A Hymn)

Nilipofika Goligotha (When I arrived at Golgotha)
Nikaiona huko (I saw while there)
Neema kubwa kama mto (Great Grace flowing like the river)
Neema ya kutosha (Sufficient Grace)

Refrain:
Neema ya Golgotha, (The Grace of Golgotha)
Ni kama bahari kubwa (Is like a great ocean)
Neema tele na ya milele, (Overflowing and everlasting Grace)
Neema ya kutosha (Sufficient Grace) (Repeat)

Nilipofika moyo wangu (When I arrived, my heart)
Ulilemewa sana (Was completely overwhelmed)
Sikufahamu bado vema (I did not fully understand)
Neema Yake kubwa (His Great Grace)

(Refrain)

Nilipoona kwamba (When I saw that)
Yesu alichukua dhambi (Jesus took our sins)
Neema ikadhihirikaka (Then Grace manifested)
Na moyo ukapona (And my soul was healed)

(Refrain)

Repeat: Neema ya kutosha (Sufficient Grace)
Sipungikiwi na Neema yako Yesu we (Your Grace Jesus, will never be insufficient)
Katika unyonge, neema yanitosha (In my weakness, Your Grace is sufficient)
Inanipa nguvu za kusonga mbele (It grants me strength to continue)
Waniongoza, hatua kwa hatua, kwa hiyo (You lead me, step by step, therefore)

Advertisement