This Year Lyrics by Ringtone Apoko ft. Ada Ehi

Leave a comment


(Languages: English, Swahili)

Refrain:
Naona this year eeh, nitabarikiwa
(I foresee that this year I will be blessed)
Naona this year aah, wewe utashinda
(I foresee that this year, you shall win)
(Repeat)

Kama chakula we pakua hadi sahani ijae
(If food, serve your plate until it is full)
Kama ni party we furahia na ushukuru Mungu
(If it is a party, enjoy it and give thanks to God)
Kuna time ya kucheka, kuna time ya kulia
(There is a time to laugh, and a time to weep)
Kuna time ya kucheza hata kama hauna pesa
(There is a time to dance even if you do not have money)

Refrain 2:
Hakuna haja ya kuworry wakati ni wako
(There is no need to worry, the time is yours)
Hakuna haja ya kuworry time yako imefika
(There is no need to worry, your time has come) (Repeat)

(Refrain)

Testimony season, my year of praise
I enter with thanksgiving, yes this is my year
Naona na milango imefunguliwa (I see doors opening)
Naona naona na, mambo yachenjanga
(I see things succeeding(?))

(Refrain 2)

(Refrain)

My mind is so clear that this is your year
Ya kupata everything, vitu poa si anything
Time .?. baraka zako zinaflow (Your blessings flowing)
Waliokucheka everyday, wakacheck all your (?)
(Those who laughed at you every day, will witness all your .?.)
This is your time, this is your year
Don’t fear, just go x2

Testimony follow you, plenty for your body o
E plenty, plenty o, see what the Lord (Repeat)

(Refrain 2)

(Refrain)

Muziki ni Dawa (Music Heals) Lyrics by Ringtone Apoko

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Asante kwa muziki, asante Mungu kwa ngoma (Thank you, Thank you God for music)
Hebu wewe ona vile watu wako wanapona (Look at how Your people sing & are healed)
Muziki ni dawa, ukisikiza utakuwa sawa (Music heals, listen to it and be eased)
Muziki ni dawa, ndio maana mimi naimba (Music heals, and that is why I sing)

Shida zinanionea, maisha ni kuvumilia (My life is full of troubles, I try to persevere)
Mimi nang’angana ili (…) I’m working hard (I work hard that…)
Mwili waanza kuuma kichwa kinaniuma (My body starts to ache, I have a headache)
Mgongo unauma, madawa nanywa siponi (My back aches, No medicine works)
Nasikia muziki kwa redio, mwili wangu unapoa (I listen to radio music, my body eases)
Swali munijibu: huu muziki una nini? (Answer me this: What does music have?)

(Refrain)

Nilikuwa nimepewa stori ya mfalme mmoja (I was told a story about a king)
Kwa jina aliitwa Sauli, alipagawa mwili (His name was Saul, and he was possessed)
Kulikuwa na kijana mmoja, kwa jina Daudi (There was a young man called David)
Alikuwa na talanta, talanta kama mimi (He had a talent, a talent similar to mine)
Tofauti yangu mimi na yeye, Ye alicheza zeze (The difference was he played the harp)
Mfalme alipagawa, watu wakashtuka (People were afraid whenever the King was ill)
Madakitari waliitwa kutibu mfalme wakashindwa (Healers tried to heal him in vain)
Daudi alipocheza zeze, mfalme akapona (But when David played the harp, the king was eased)

(Refrain)

%d bloggers like this: