Advertisements

Niloweshe (Drench Me) Lyrics by Sarah K

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Niloweshe, niloweshe, Roho mtakatifu
(Drench me, Holy Spirit drench me)
Niloweshe, niloweshe, nakuomba Roho, niloweshe
(Drench me, Spirit I pray that you may drench me)

Roho mtakatifu, niloweshe (Holy Spirit, drench me)
Kwa maombi, na kufunga, niloweshe (In my prayers and fasting, drench me)
Nisipungukiwe, nisijue nikakauka (That I may not lack, that I may not be dry)
Nakuomba Roho, niloweshe (Spirit I pray that you may drench me)

(Refrain)

Roho mtakatifu, niloweshe (Holy Spirit, drench me)
Kwa upako wako, niloweshe (Drench me with Your anointing)
Nisipungukiwe, nisijue nikakauka (That I may not lack, that I may not be dry)
Nakuomba Roho, niloweshe (Spirit I pray that you may drench me)

Roho mtakatifu, niloweshe (Holy Spirit, drench me)
Kwa ushirika wako, niloweshe (Drench me with Your Fellowship)
Nisipungukiwe, nisijue nikakauka (That I may not lack, that I may not be dry)
Nakuomba Roho, niloweshe (Spirit I pray that you may drench me)

(Refrain)

Advertisements

Yupo (He’s Here) Lyrics by Sarah K

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Yupo  (He’s here) x8

Upo upako wa ajabu; humu (There’s a great anointing in this place)
Upo utulivu angani (There is peace in the air)
Njooni kwake Yesu, ni muweza (Come to Jesus, He is mighty)
Atawatuliza, maana yupo (He shall provide you rest, for He is here)

Refrain:

Yupo, yupo (He is here)
Avunjae nyila zote (The one that breaks every chains)
Na kubeba mizigo mizito (And carries heavy burdens)
Yupo, yupo, Kurejesha tumaini (He is here, to restore hope)
Kuwainua wanyonge (And lift the weak)
Njooni nyote, kabidhini mizigo zenu (Come all, surrender your burdens)
Atawabebea, maana yupo (He’ll carry them for you, for He’s here)

Mbona mwakawia kuja kwake? (Why hesitate coming to Him?)
Neema kuu ipo, ya ajabu (There is great and amazing grace)
Njooni kwake sasa, msihofu (Come to Him now, do not fear)
Mtamwona leo, maana yupo (You’ll see Him today, for He is here) (Repeat)

(Refrain)

Hakuna Silaha (No Weapon) Lyrics by Sarah K

10 Comments(Sung in Swahili)

Refrain:
Hakuna silaha yeyote (No Weapon)
Iliyotumwa kinyume chetu (Forged against us)
Itakayofaulu (Shall prosper) (Repeat)

Silaha yoyote itakayotumwa (Any weapon sent)
Kwa njia moja au nyingine (In one way or another)
Itawanywishwa kwa njia saba (Will be scattered  in seven directions)
Haitafaulu (It shall not prosper)(Repeat)

(Refrain)

Maneno maovu Yaliyonennwa (Curses that were said)
Na walio hai na walio kufa (By the living or the dead)
Chini ya maji na nchi kavu (Under water or dry land)
Haitafaulu (Will not prosper)(Repeat)

(Refrain)

Refrain: Hakuna x3 itakayofaulu (None that will prosper)
Neno la Mungu linasema hakuna, (The word of God says that no)
Uchawi/mapepo/uganga/ushirikina (witchcraft/demons/charms/divination)
Itakayo faulu (That will prosper)
Usiogope, simama na neno la Mungu (Don’t fear, stand in God’s word)

(Refrain)

Ananipenda (He Loves Me) Lyrics by Sarah K. Ft. Izoe

Leave a comment(Sung in Swahili)

Kuna jambo linalonifurahisha (One thing gives me joy)
Kujua ya kwamba kuna mmoja anipendaye (Knowing that there’s one that loves me)
Siyo kwa mema nitendayo bali huruma zake (Not for my good deeds, but by His mercies)
Kwa kweli mimi najua ananipenda (I know that He loves me)
(Repeat)

Ananipenda (He loves me) x4
Nina furaha kwa kuwa ananipenda (I am joyful for He loves me)
Ooooooh, ananipenda (Oh, He loves me)
(Repeat)

(From the top)

Mnyunyizi Wangu (My Irrigator/Refresher) Lyrics by Sarah Kiarie

7 Comments


(Sung in Swahili)

Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame (The one who refreshes me during droughts)
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda (You do not let me wither, I love you)(Repeat)

Refrain:
Nakupenda, nakupenda (I love you, I love you)
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda  (My refresher, I love you) (Repeat)

Kama mti kando ya mto, Hivyo ndivyo ilivyo (Like a tree by a stream, that is how I am)
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda  (My refresher, I love you) (Repeat)

(Refrain)

Liseme (Name it) Lyrics by Sarah Kiarie

6 Comments(Sung in Swahili)

Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2

Chorus:
Liseme, liseme, (Name it)
litaje, litaje (Mention it)
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2

Yeye ni Baba wa yatima (He’s the father of the fatherless)
Yeye ni mume wa wajane (He’s the husband to the widows)
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2
(Repeat)

(Chorus)

Yeye ni mponyaji (He is the Healer)
Yeye ni mkarimu (He is generous)
Mlinzi, mfariji wa ajabu (Guardian and the great comforter)
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2
(Repat)

(Chorus)

%d bloggers like this: