Mbinguni (Heaven) Lyrics by Sauti Sol

1 Comment


(Sung in Swahili)
Cherie, analia, analia (Cherie cries and cries)
Amechoka na dunia yake (She is tired with her world) (Repeat)
Anauliza (She asks)

Refrain:
Mbinguni ni wapi? (Where is Heaven)
Mbinguni, mbinguni, ye ye ye… (Heaven, ye ye ye…)
Mbinguni, mbinguni, ye ye ye… (Heaven, ye ye ye…)
Ah, mbinguni (Oh, Heaven)

Nimesikia malaika wakiongea (I have head the angels speaking)
Wakisema (Saying)
Ni kuzuri, ni kusawa, ye ye ye (It is beautiful and great there)

(Refrain)

Mbinguni kumejawa na malaika (Heaven is full of angels)
Hakuna hofu na shida (There is no more fear and trouble)
Kila kitu ni shwari (Everything  is well) (Repeat)

Mbinguni tutaenda na kina nani? (Who will we go to heaven with?) x2
Iyo oh oh oh x4 Iyo (Iyo oh oh oh …) (Repeat)

(Refrain)

Kuliko Jana (More Than Yesterday) Lyrics by Sauti Sol

16 Comments(Sung in Swahili)

Bwana ni mwokozi wangu (The Lord is my savior)
Tena ni kiongozi wangu (And He is my Leader)
Ananipenda leo kuliko jana (He loves me today even more than yesterday)
Baraka zake hazikwishi (His Blessings are unending)
Si kama binadamu habadiliki (He is not like man, to change)
Ananipenda Leo kuliko jana (He loves me today, more than yesterday)

Refrain:
Kuliko jana, kuliko jana (More than yesterday )
Yesu unipende leo, kuliko jana (Jesus love me today, more than yesterday)
Kuliko jana, kuliko jana (More than yesterday )
Yesu unipende leo, kuliko jana (Jesus love me today, more than yesterday)

Si nakuomba Mungu uwasamehe (Forgive them, God I pray)
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingalinisema (If they knew how You loved me they’d be quiet)
Na maadui wangu, ninawaombea (To my opposers I pray )
Maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki (For long life that they may see Your blessing to me)

Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana (Human beings are shocking)
Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika (They denied Jesus three times before the rooster crowed)
Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana (Humans are shocking)
Walimsulubisha Yesu masiya bila kusita (They crucified Jesus savior with no hesitations)

(Refrain)

Bridge:
Wewe ndo nategemea (It is You I rely upon )
Kufa kuponea baba nakutegemea (Life or death Father I rely upon you)
Chochote ‘kitanikatsia (Nothing will prevent me)
Kuingia mbinguni hutan’ondolea (From entering heaven )

(Refrain)

(Bridge)

(Refrain)

%d bloggers like this: