(Sung in Swahili)

Refrain:
Baba nipe tano, Baba nipe tano, Baba nipe tano (Father give me five talents)
Niongezapo, nami nirudishe tano (After I double it, I shall return the five)
Baba nipe tano, Baba nipe tano (Father give me five talents)
Ukinipa tano, nitazalisha tano (If you give me the five, I shall yield five more)
Nitarudisha tano (And return the five)

Yaani ni hasara hiyo, ameiachilia talanta (It is a loss for the one who’s hidden heir talents)
Yaani ni hasara hiyo, hataki kufanya kazi (It is a loss for the one who does not want to toil)
Baba nipe mimi tano, nikufanyikie mfano (Father give me five, to serve as an example)
Nikatumike kwa uaminifu, mbele yako (To serve in faithfulness before You)
Chibuko la urithi wako (To be the legacy of your work)

(Refrain)

Bridge:
Nipe tano, tano nipatie (Give me five, grant me five)
Nikachakarike nazo (To explore with them)
Tano nipatie, nigongee tano (Give me five, Grant me five) (Repeat)

Ile moja ulonipa Baba, ile moja ul’onipa (For the one you’ve given me Father)
Ile moja ul’onipa sikuifukia, niliizalisha Baba (For the one you’ve given me, I will double it)
Sina ulegevu, Sina mchezo kazini (I am not lazy, I do not undermine work)
Sina masihara kwa longolongo, we nipe tu tano (I’ m not childish, just give me five talents)

(Bridge)

Advertisement