Umenibeba (It has Carried Me) Lyrics By Tumaini

Leave a comment


(Sung in Swahili)

(Refrain)
Haijawa rahisi kufika hapa (It has not been easy to get to where I am)
Ni mkono wa Mungu umenibeba (It is the arms of God, that has carried me)
Haijawa rahisi kufika hapa (It has not been easy to get to where I am)
Ni mkono wa Mungu umenibeba (It is the arms of God, that has carried me)
Umenibeba, umenibeba (It has carried me, it has carried me)
Ni mkono wa Mungu umenibeba (It is the arms of God, that has carried me)
Umenibeba, umenibeba (It has carried me, it has carried me)
Ni mkono wa Mungu umenibeba (It is the arms of God, that has carried me)

Hakuna kitu/jambo nzuri (There is nothing sweeter)
Kama kuweka imani ndani ya Mungu (Than putting trust in God) (Repeat)

Yeye hajui, disappointment (He does not understand disappointment)
Yeye haelewi, kuvunja moyo (He does not understand breaking hearts)
Kumtegemea, huepusha mambo mengi (Depending Him, prevents a lot of things)
Kumtumainia, kunasaidia (Trusting Him, is very helpful)

(Refrain)

Mungu, napenda unavyofanya ahadi zako (God, I love Your promises)
Kwanza huwezi ahidi ukose kutimiza (For You fulfill what you promised) (Repeat)

(Refrain)

Nisizame (That I May Not Drown) Lyrics by Tumaini

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Chorus:
Nisizame Yesu, uniokoe (That I might not drown, save me Jesus)(x2)
NIsizame uniokoe  (Save me, that I may not drown) (x2)
(repeat)

Magonjwa yananiandama (Illnesses hound me)
Hospitali zote nimaliza (I have visited all hospitals)
Kupona sijapona (I have not received healing)
Magonjwa yananiandama (Illnesses hound me)
Madaktari wote nimemaliza (I have visited all doctors)
Kupona sijapone (I have not received healing)
Njoo haraka unisaidie, nisizame (Come quickly and save me that I may not drown)
Uje hima unikoe, nisizame (Come fast and save me, that I may not drown)

(Chorus)

Naona huduma imekuwa nzito (I see my ministry becoming heavy)
Naona huduma hii Baba yangu kama ni mzigo (I feel my ministry as a burden, Father)
Naona huduma imekuwa nzito (I fell the burden becoming heavy)
Umekuwa kama mwiba (It has become a thorn)
Lakini nakuita unisaidie, nisizame (But I call unto you to help me, that I may not drown)
Nisizame Baba, nisizame (Don’t let me drown father)

(Chorus)

Elimu nimemaliza (I have completed my education)
Kazi nimetafuta, nimekosa (Looked for work, to no avail)
Mwenye nymba naye amekukuja (The landlord has come)
Akidai kodi ya nyumba  (He wants the rent for the house)
Hata shilingi mimi sina (And here I am penniless)
Nimejaribu kuomba kwa majirani (I have tried borrowing from neighbors)
Ndugu zangu wote hakuna msaada (From my brothers, there’s no help)
Marafiki zangu, hakuna msaada (From my friends, there’s no help)
Ni wewe tu msaada wangu, nisizame (You are my only hope, that I may not drown)
Hili ni ombi langu, nisizame (This is my prayer, that I may not drown)

(Chorus)

%d bloggers like this: