(Sung in Swahili)

Refrain:
Uwe nguzo ya moto mbele yangu (Be a pillar of fire before me)
Adui wakija, wasiniweze (When the enemy come they would not defeat me)
Uwe nguzo moto maishani mwangu Mungu (God, Be a pillar of fire  in my life)
Adui wakija, wasiniweze (That when the enemy comes, they will not defeat me)

Wamefungua vinywa, lengo wanimeze (They have opened their mouths to swallow me)
Naomba Mungu, nisaidie (God I pray that You help me)
Wamefungua makucha, ili wanirarue (They have sharpened their claws to tear me apart)
Naomba Mungu, nipiganie (God I pray that You fight on my behalf)

(Refrain)

Mungu ukiwa upande wangu (God, if You are by my side)
Hivi ni nani atapigana mbele yangu? (Who can dare fight before me?)
Yesu ukiwa upande wangu (Jesus if You are by my side)
Hivi ni nani atapambana mbele tangu? (Who can dare fight before me?)
Mimi nategemea kwako Mungu (I depend on You God)
Mimi naegemea kwako Mungu (I lean on You God)
Mimi natumaini kwako Mungu (I trust in You, God)
Nikingie kifua, uwe nguzo mbele (Shelter my chest, be a pillar before me)
Nisaidie Bwana, kupigana nao (Help me to fight them)
Nikingie kifua, uwe nguzo mbele (Shelter my chest, be a pillar before me)
Nisaidie Bwana, kupambana nao (Help me to fight them)

(Refrain)

Wewe Mungu unaweza, Yesu unaweza, Mungu unaweza (God/Jesus You are able)
Wewe Baba Unaweza, Mungu unaweza, Yesu unaweza (God/Jesus/God You are able)
Kupasawazisha mahali ilipo paruza (To straighten crooked paths)
Yesu unaweza, Mungu unaweza (Jesus/God You are able)
Kuyavunjavunja mipingu ya adui zangu (To break my enemies’ chains)
Mungu unaweza, Yesu unaweza (God/Jesus You are able)
Imani yangu, Mungu ni kwako (My faith is in You God)
Msaada wangu, Mungu ni kwako (I find my help in You God)
Sina mahali pengine pa kukimbilia (I have nowhere else to run to)
Ila ni kwako Mungu x2 (But to You God)
Sina mahali pengine pa kutegemea (I have no where else to rely upon)
Ila ni kwako Mungu x2 (But upon You God)
Uwe nguzo ya moto kwangu (Be a pillar of fire to me)

(Refrain)

Advertisement