(Sung in Swahili)

Baba eh, Baba x3 (Father, Oh Father)
Ni wewe Bwana umekuwa ngome yangu (Lord, You are my Fortress)
Wakati wa shida, wakati wa magumu (In times of trouble and difficulties)
Baba eh, Baba  (Father, Oh Father)
Ni wewe Bwana umekuwa ngome yangu (Lord, You are my Fortress)

Ni wewe Baba, ni wewe (It is You Father, it is You)
Ni wewe, ni wewe (It is You, it’s You)
Kweli ni wewe, ni wewe (Truly it’s You, it’s You)
Bwana nashukuru (Lord I thank You)
Hivi nilivyo leo, ni wewe (How I am today, it’s because of You)
Hapa nilipo sasa, ni wewe (Where I am today it’s because of You)
Kweli ni wewe, ni wewe (Truly it’s You, it’s because of You)
Bwana nashukuru (Lord I thank You)

Yaani nawaza (Now I wonder)
Najiuliza, kama sio Bwana (I ask myself, if it wasn’t for the Lord)
Leo, ningekuwa wapi mimi? (Where would I be today?)
Adui alikunjua makucha (The enemies had unsheathed their claws)
Aturarue, atumalize (To tear me and destroy me)
Kama sio Bwana, nisingebaki hai (If it wasn’t for the Lord, I would not be alive)

Walitangaza matanga (They announced my funeral)
Wakidhani wamenimaliza (Thinking they had won)
Wakasahau kwamba (Forgetting that)
Mtetezi wangu yu hai (My redeemer lives)
Amenipa nguvu (He has given me strength)
Zaidi ya jana (Even more than yesterday)
Sasa macho yangu yanaona mbali (Now my eyes see  further)
Kuliko tai (Even further than the eagles’)

Baba eh, Baba x3 (Father, Oh Father)
Ni wewe Bwana umekuwa ngome yangu (Lord, You are my Fortress)
Nakushukuru Bwana (Lord I thank You)
Umenivusha Jana (For crossing me over)
Baba eh, Baba (Father, Oh Father)
Ni wewe Bwana umekuwa ngome yangu (Lord, You are my Fortress)
Walikuja kwa njia moja (They came from one direction)
Kwa njia saba ukawatawanya (In seven directions, You scattered them)
Baba eh, Baba (Father, Oh Father)
Ni wewe Bwana umekuwa ngome yangu (Lord, You are my Fortress)
Umekuwa msaada wangu (You have become my help)
Wakati wa mateso (In times of persecution)
Baba eh, Baba (Father, Oh Father)
Ni wewe Bwana umekuwa ngome yangu (Lord, You are my Fortress)

Oh Ni wewe, ni wewe (Oh it is You)
Ni wewe, ni wewe (It is You, it’s You)
Bwana ni wewe (Lord it is You)
Ni wewe, Baba nashukuru (It’s because of You, Father I thank You)
Jinsi nilivyo leo, ni wewe (The way I am today, it’s because of You)
Hapa nilipo sasa, ni wewe (Where I am today it’s because of You)
Kweli ni wewe, ni wewe (Truly it’s because of You)
Bwana nashukuru (Lord I thank You)
Nakushukuru Bwana, ni wewe (I thank You Lord)
Ulinivusha jana, ni wewe (For crossing me over)
Kweli ni wewe, ni wewe (Truly it’s You, it’s because of You)
Bwana nashukuru (Lord I thank You)

Walitutupa mashimoni, kuzima ndoto zetu (They threw us in the pit to bury our dreams)
Kwa mkono wa adui, Bwana ukatuokoa (From the enemies hand, The Lord rescued us)
Walitutupa gerezani, kuzima ndoto zetu (They threw us in jail, to kill our drems)
Bwana katutoa gerezani, katupa na vyeo (The Lord rescued us from prison, and gave us authority)
Sasa, tuna wimbo wa ushindi (Now, we have the song of victory)
Yaani Mungu Baba, ametushindia vita (For Father God, has won on our behalf)
Bwana alitufanyia njia (The Lord has made a way for us)
Wakajichanganya na nao wakapita (They became confused and passed by us)
Wote Bwana kawagarikishwa, kwa maji ya bahari (They were all tossed around, by the ocean waves)

Advertisement