Chorus:
Mungu Baba yeye hafungi macho
(God the father does not sleep)
Habadiliki jana leo na kesho
(He does not change, yesterday, today and tomorrow)
Azijua raha na shida zako
(He Knows your joy and your sorrows)
 
Macho yake makali yaona mambo yote
(His sharp eyes sees everything)
Hata yale yamefichika anaona
(Even the unseen he sees)
Hana jambo la siri asioliona
(There is no secret he does not see)
Umekosa chakula mavazi hata pesa
(You don’t have food clothing and even money)
Kodi ya nyumba karo ya shule hata mchumba
(Your rent, school fees even a beau)
Unadhani sasa dunia imefika mwisho
(You think the world is coming to an end)
 
(Chorus)
 
Jirani, wacha mirungirungi, rafiki wacha maneno mengi
(Neighbor, abandon your worries, My friend, abandon your words)
Sijui kwa nini wanisema, Eti mimi, nimekuwa kafiri
(I don’t understand why you gossip, that I am a hypocrite)
Eti mimi nimekuwa mrui, sijui, wala sisemi kitu
(That I am a backslider, I don’t know, but I am silent)
 
(Chorus)
 
Akisema yuakuona jamani usitie shaka
(If he says he sees you, please do not worry)
Ye halali na hachoki na wala ye habadiliki
(he does not sleep he does not tire nor does he change)
Azijua raha zako, azijua na shida zako
(He knows your joy, he knows your sorrows)
Tuimbeni halleluya Hossanah ye amefufuka
(Let us sing Haleluyah, Hossana he is risen)
Haleluyah, ye halali na hachoki na wala ye habadiliki
(Haleluya, he does not sleep, he does not tire nor does he change)
Haleluyah, tuimbeni haleluya Hossana ye amefufuka
(Haleluya, let us sing haleluya hosanna he is risen)
 
(Chorus)