(Sung in Swahili)

Verse 1 (Choir):
Nimeahidi yesu kukufuata wewe, (I have promised you Jesus to follow you)
Milele bwana wangu, rafiki na mwalimu (Forever my Lord, my friend and teacher)
Nimeahidi yesu kukufuata wewe, (I have promised you Jesus to follow you)
Milele bwana wangu, rafiki na mwalimu (Forever my Lord, my friend and teacher)
vitani siogopi, karibu vita (In battle I shall not be afraid, I welcome it)
Njiani sipotei ukinitangulia (I shall not be lost on my journey if you are with me)

Verse 2 (Solo):
Nimejitoa kwako kukutumikia (I have given myself to serve you)
Siku za maisha yangu niwe nawe (All the days of my life to be with you)
Nimejitoa kwako kukutumikia (I have given myself to serve you)
Siku za maisha yangu niwe nawe (All the days of my life to be with you)
Sema nami baba, sema nami (Speak to me Father, speak to me)
Sema nami baba, sema nami (Speak to me father, speak to me)
Niko tayari mimi kukutumikia (I am ready to serve you)
Niko tayari mimi kukutumikia (I am ready to serve you)

Chorus:
Sema nami nisikie,Sauti ya upole Bwana
(Talk to me, let me hear your still small voice)
Sema nami nisikie,Sauti ya upole Bwana
(Talk to me, let me hear your still small voice)
Itulizayo moyo mkuu uliotaabika
(That quiets a burdened spirit)
Nitie moyo mkuu uliobondeka
(Give me a heart that can be moulded)

(Repeat verse 2)

(Chorus)

Sema nami baba, sema nami bwana wangu (Talk to me father, talk to me my Lord)
Niko tayari sema nami bwana wangu (I am willing, talk to me my Lord)
Sema nami baba, sema nami bwana wangu (Talk to me father, talk to me my Lord)
Niko tayari sema nami bwana wangu (I am willing, talk to me my Lord)
Nyumbani kwangu sema nami bwana wangu (In my home talk to me my Lord)
Kazini kwangu sema nami bwana wangu (In my workplace, talk to me my Lord)
Niko tayari sema nami bwana wangu (I am ready talk to me my Lord)
Niko tayari sema nami bwana wangu (I am ready, talk to me my Lord)

Advertisement