NIlikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu
Sasa mie nauliza, nianze wapi eh
Marafiki wangu wote wamenikimbia ahe
Jehova Nissi nlia nihurumie
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako

Nilikuwa natafuta kipenzi cha roho yangu
Sasa mie nauliza, nianze wapi eh
Maumivu machungu mengi yamenijaza mie eh
Jehova Nissi nlia nihurumie, nipe
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako

NIlikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu
Sasa mie nauliza, nianze wapi eh
Marafiki wangu wote wamenikimbia ahe
Jehova Nissi nlia nihurumie
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako

Nipe uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako

Ohh aa….

Wa kusimama imara juu ya neno lako eh
Wa kusimama imara juu ya neno lako eh

Advertisements