(Sung in Swahili)

Siku moja nilikuwa na shida fulani (One day I had a problem)
Nikaona niombe usaidizi (I decided to ask for help)
Kwa bosi fulani rafiki yangu (To a certain man, who is my friend)
Tumejuana naye kwa muda mrefu (We’ve known each other for a long time)
Simu yake ilikuwa iko mteja (His phone was off)
Kwa hivyo nikaenda kwa ofisi yake (So I went to his office)
Nikaambiwa nitoe kitambulisho (I was asked to show my I.D.)
Na nikaangaliwa kama niko na bomu (And was searched for weapons)
Wakaniuliza kama nina appointment (Then they asked me if I had an appointment)
Nikasema sina huyo ni rafiki yangu (I said I don’t, He’s my friend)
So wakasema “No, huwezi ona bosi” (So they said, “No, you can’t see the boss,”)
“Ni lazima, ni lazima uwe na appointment” (“You must have an appointment”)

Chorus:
Asante Baba, (Thank you Father) I like your office
Hakuna appointment nahitaji (I don’t need an appointment)(repeat)
So any day, anytime, anywhere I go
I just knock, knock, knock. Naingia (And enter.)

Kwa ofisi yako, hakuna masoja (There are no guards in your office)
Hata sekretari pia hakunanga (There is also no secretary)
Hakunanga diary ati lazima tupange (There is no diary to arrange)
Any day, any time is a meeting time
Kwa hivyo, nikiwa na shida (So if I have an issue)
Siwezi ngoja nipate appointment (I don’t have to wait for an appointment)(repeat)

(Chorus)

So any day, anytime, anywhere I go
I just knock, knock, knock. Naingia (And enter.)

Advertisement