(Sung in Swahili)

Oh, Jimmy Gait make it or make it
Kwa beat ya Jacky B (By Jacky B beats)
208 tulikosana, tukapigana, tukauana
(in 2008 we disagreed, we clashed, we killed each other)
Juu ya politicians Eh (Because of politicians)
Huu mwaka tumeamua, (This Year we have resolved)
Tumetia zi kupigana(x3) (To stop fighting each other x3)

Chorus:
Tunasema (We say)
No more fighting(x3)
No, no, no more fighting
No more fighting, no…
Hakuna marungu, marungu (x2) (No clubs, clubs)
Hakuna, hakuna (No, no)
Hakuna mapanga, mapanga (x2) (No machetes, machetes)
Hakuna, hakuna. Hiye (No,no)
[…] Chini […unclear..] down

Sisi wote mavijana tumeamua (As the youth we have resolved)
Toka leo hatutakubali kutumika (From now on we refuse to be used)
na politicians No way (By the politicians, no way)

(Chorus)

Mungu Baba tunaomba leo (Father God we pray today)
Tusaidie, tuishi kwa amani (Help us to live in peace)
Mungu baba tusaidie (Father God help us)
Ili sote tuungane kwa umoja (So that we join together)
Sisi ni wamoja (As we are one)

(Chorus)