(Sung in Swahili)

Sina dough, sina ndai, sina chorus x4 (No money, no car, no chorus)
Sina chous (No chorus)

Niwie radhi nina maswali mengi (Pardon me I have many questions)
Nimekosa mwelekeo natufuta purpose (I have no direction, I’m looking for a purpose)
Kupata wera tafash. (To find a job is problematic)
Nasaka waks ndio nipate kwangu angalau (I’m looking for a job so at least )
Cheki marafiki vile wameendelea ( Look at my friends’ progress)
Vipi miendeo yao umependelea( You have favored their way)
Ukanisahau for real  ( You have forgotten me for real)
Kuuliza si ujinga, sio madharau( I mean no offense in asking)
Pata shahada, lipa mshahara, ( Get a degree, get a salary)
mkwanja isikuwe lengo langu kuu( Money not to be my main goal)
Nakusikiza nisivunjike guu( I’m looking to you so I don’t get lost)
Nimekosa bus fare inabidi kaguu(No bus fare so I walk)
Ni nini nitado, ni nini nitafanya( What else can  I do?)
Nikishinda rat race bado mi ni panya ( I’m winning the rat race, but I’m still a rat)
Staki huzuni nakulia( I don’t want sorrow and tears)
Nifunze tafadhali nisifunzwe na dunia( Teach me please, so I won’t be swayed by the world)

Chorus:
Sina chorus x3 lakini mi mind ( No chorus, but I don’t mind)
Sina dough x3 lakini mi si worry ( No money, but I don’t worry)
Sina ndai x3  lakinin nitawahi( No car, but soon)
Nitawahi x3( Soon/I will)

Miaka nenda, miaka rudi njumu zangu zile zile ( Years go by, my shoes are the same)
Siku down sana, lakini kuna vile( I’m not destitute, but…)
Nishughulikie nisort kiasi( Take care of me, help me)
Angalau ndula mpya, mavazi…( At least new shoes, clothes..)
Ndio nikuwe mbele hii CV, ( So I can advance my C.V.)
Nipate works poa ndio nijenge hii CV( To get a better job to advance this C.V.)
Ntatia bidii kwa wenzangu nitarank ( I will do my best to be the best)
Lazima niwe na security kwenye bank( I need security in the bank)
Nijitegemee kidogo, ( So I can rely on myself)
Kabla ya kutafuta kidosho( Before I look for a wife)
Nioe malkia tupate mtoto (To marry my queen, to get a child)
Tuwe kwa hali njema sio msoto( So we will be secure not destitute)
Bado tatizo, bado niko shidani( But troubles, I’m still in trouble)
Kujitoa humu kwa nguvu zangu( I can’t be saved by my strength)
Mimi sidhani nitatoboa Itabidi umeniokoa,  ( I can’t by myself, only you can save me)
Wanasema kukufuata nimenoa( They say I’m wrong in following you)

(Chorus)

Kufuata miaka kadhaa na sijapata chapaa nyingi (Not enough money over the years )
Lakini umenisort mahitaji( But you have met my needs)
Malap kadhaa bila ya kulipa shilingi( I have managed much with no money)
Nashindwa pesa zilitoka wapi?( I’m flabbergasted, where did the money come from?)
Bila kusanya mimi sio crookman( Without stealing – I’m not a crook)
Umeprovide so unastahili shukrani( You’ve provided, you deserve thanks)
Nikicheki future ninababaika (If I look in the future, I worry)
Na sawa[?] pahali tumetoka, pahali tumefika( …Where we’ve come from, where we are)
Nikiworry ni lini nitamarry( When I worry when will I marry?)
Ni lini nitasave enough nibuy gari( When will I save enough to buy a car?)
Ni lenge cladi za mtush( Stop wearing second hand clothes)
Exhibition iko worth more kuliko dush( Exhibition is worth more than [?])
Mission ndio nafaa kuzingatia( I should focus on the mission)
Siweszi outshine maua hata supra nizing’aria( I can’t outshine a flower)
Sina million lakini nimeangukia (I don’t have a million but I’m blessed beyond measure)
Follow the leader, mola wewe tangulia( Following the leader – God, you first)

(Chorus)

Advertisement