(Sung in Swahili)

Haya ni maombi yangu, kwako (This is my prayer to You)
Wote ninaowapenda wasipitwe (That all my beloved will not be passed by)
Na Neema Yako, na Neema Yako (By Your Grace, by Your Grace)
Basi ikiwa iwapo ahadi (Now if there be a promise)
Ya kuingia rahani mwako (To enter into Your Glory)
Sitaki kukosa, na niwapendao (I do not want to miss, and those whom I love) (Repeat)

Refrain:
Funua neema Yako! (Reveal Your Grace)
Familia yangu ikujue (For my family to  know You)
Funua neema Yako! (Reveal Your Grace)
Mataifa yote yakujue (That nations would know You)

(From the Top)

Repeat: Neema Yako! (Your Grace!)
Tusipitwe na (That we may not be passed by) x3

Prayer:
Eh Yesu (Oh Jesus)
Ninajua kuna wengine wamekuja hapa Bwana (Lord I know there are people who have come here)
Na wanateswa na magonjwa za kifamilia (Tormented by generational diseases)
Baba tunaomba neema yako izidi (Father we pray for your Grace to increase)
Yesu tunaomba neema yako izidi (Jesus we pray for Your Grace to overflow)
Baba kuna wengine wanateswa (Father there are others who are tormented)
Na tabia za kifamilia (By family-related behavior)
Yesu tunaomba neema yako izidi, Bwana (Jesus we pray for Your grace to overflow)

Funua neema Yako! (Reveal Your Grace)
Familia yangu ikujue (For my family to  know You)
Ikuamini wewe (To believe in You)
Ikupende wewe (To love You)
Rafiki zangu, wakuamini wewe (For my Friends, to believe in You)
Watoto wangu, wakujue wewe (My children, to know You)
Nyumba yangu, ikujue wewe (For my house to know You)

(Refrain)

Neema Yako! (Your Grace!)

Advertisement