(Sung in Swahili)

Mateke, mateke, mateke (Kicks, kicks, kicks)

Yesu amempa shetani mateke (Jesus has kicked out the devil
Sababu ya mateke, mimi niko huru (Because of the kicks, I’m free)x2

Chorus:
Mateke, mateke, mateke (Kicks, kicks, kicks)
Sababu ya mateke, mimi niko huru (Because of the kicks, I’m free)x2

Wengi walinitazama wakidhani kuwa mi niko sawa (Many saw me and thought me ok)
Pesa, magari, na show kila mahali (With my money, cars and shows everywhere)
Ukweli ni kuwa sikukuwa na amani (The truth is I had no peace)
Machozi kila mara, huzuni kanijaa (Tears all the time, I was full of grief)
Nilisumbuka we, nililia eh (I was troubled, I cried)
Nilisumbuka we, hapo ndipo Yesu (I was troubled, and that was when Jesus)

(Chorus)

Huko nyumbani, mashida zakuandama (At home, troubles follow you)
Stima maji, hata bwana alienda (Electricity, water, even your husband left)
Marafiki nao, zao wanakusemasema (your friends gossip about you)
Hapa kule, wapi utaenda? (Here and there, where will you go?)
Usilie we, usisumbuke eh (Don’t cry, don’t trouble yourself)
Usilie we, sema nami sasa (Don’t cry, now say with me)

(Chorus)

Kwa sababu ya mateke zake Yesu (Because of the kicks Jesus gave)
Shetani naye, yeye ameshindwa (Satan is defeated)
Kwa sababu ya mateke zake Yesu (Because of the kicks Jesus gave)
Shida nazo, zote zimekwisha (All the troubles are over)

Advertisement