(Sung in Swahili)

Chorus:
Bado nasimama, (I’m still standing)
Bado naendelea (I’m still continuing)
Bado najikaza, (I’m still pressing on)
Nifike kule (That I may reach there) (Repeat)

Bila neema na rehema zako (Without your grace and mercy)
Ningekuwa wapi mimi? (Where would I be?)
Bila upendo na fadhili zako (Without your love and favor)
Maisha yangu, yangekuwa bure (My life would be meaningless)
Kwa wema wako, kanisimamisha (You established me with your love)
Na imani yangu, ukaiweka salama (And kept my faith safe)
Kama si wewe, (If not for you,)
mwamba wa wokovu wangu (The Rock of my salvation)
Nisingeweza, ningeangamia (I would have perished)

(Chorus)

Nainua macho yangu, (I lift up my eyes)
Kwako wewe Baba yangu (To you my Father)
Msaada wangu, utatoka wapi? (Where does my help come from?)
Msaada wangu, katika Bwana (My help, is from the Lord)
Hasinzii, anilindaye (He who watches over me does not slumber)
Haniachi mimi niteleze (He will not let me slip)
Anipa nguvu na uwezo wake (He gives me strength and his might)
Ili mimi nifike kule (That I might reach there)

(Chorus)

Advertisement