(Sung in Swahili)

Pre-Song
Halleluya, Ndugu yangu Biblia inasema (Haleluja, My brother the Bible says )
waabudio wa halisi watamwabudu Bwana (Those who worship the Lord)
katika roho na kwa kweli ( will do so in spirit and in truth)
Na ni wakati huu – ukiwa ndani ya gari lako, (At this moment – if you are in your car)
ukiwa ndani ya basi unasafiri, (In a bus travelling)
ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako ( or in your office working )
Jiunge pamoja nami tumwinue Bwana (Join me to lift the Lord )
tumwambie unastahili uko mwenye nguvu ( and tell him He deserves it he is mighty)
Ukiwa uliamka asubuhi (If you woke up this morning)
na haukumwambia kitu Mungu, ( and you didn’t tell God anything )
ni wakati wa kumwambia Bwana: (This is the time to tell Him )
Utukuzwe, uinuliwe ( “You are praiseworthy, be lifted up”)
Tujiunge pamoja kwa wakati huu (Join me now in telling God)
tumwambie Bwana “Wastahili” ( “You deserve [all the honor]”)
Ikiwa uko katika maombi ya kufunga na kuomba, (If you are fasting and praying)
hebu tujiunge pamoja, Twende Haleluya ( join me Let’s go Halelujah)

Verse 1:
Mungu wetu mwenye nguvu, ni Baba wa milele (Our mighty God, is the everlasting Father)
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele) – (Refrain 1 )
Mwenye nguvu, Ebeneza wa milele (He has the mighty, everlasting Ebenezer)
Wanipa mema, wewe ni mwenye nguvu, Baba wa milele (You grant me good things, you are mighty everlasting Gather)
Nguvu zako zashangaza dunia,
uliumba mbigu pasi kugusa, hewani Baba (Your might astonishes the world, you created the world by the word of your mouth )

Refrain 2:
Neema, fadhili zako, kila asubuhi ( Your goodness and mercies, every morning)
Ulizotenda zanifariji moyo niamkapo (And your works comfort me when I awake)

Verse 2:
Nikikosewa na maisha, wanipa tumaini la kupata maisha Baba (When I am slighted in life, you give me hope in life)
Japo wanicheka majirani ( Though my neighbors laugh at me)
Wewe upo upande wangu, Uhimidiwe Yahweh ((You are in my side, Be praised Yahweh))

Verse 3:
Wanipa tumaini la maisha Baba yangu duniani ( You give me hope in life My Father)
Natembea nawe Baba yangu, ( I walk with you my Father)
Hujaniacha mimi ( You haven’t abandoned me)

(Refrain 2) + (Verse 3)

Verse 4:
Kulala, kuamka ni kwa neema yako (When I sleep, and wake, it is by your grace )
Ndugu yangu Ulimpa mungu nini wewe ( My brother, what did you give God)
kusudi uwe jinsi ulivyo? (For you to be the way you are?) 
Usijivune bure ni neema yake baba. ( Do not boast, it  is by grace of God)

(Refrain 2)

Refrain 3:
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe (Father be praised, Father be lifed up ) x3

Rafiki yangu, I love you, I love you Father yo ( My friend I love you, Father) + Refrain 3
Maneno yafungua watu ( Your words releases prisoners) + Refrain 3
Sitasahau uliponitoa , Umenitoa mbali ( I will not forget the distance you’ve brought me) + Refrain 3

(Refrain 3)

Advertisement