(Sung in Swahili)

Upendo wako kwangu wa kuaminika (Your love to me is trustworthy)
Maneno yako yaniburudisha moyo (Your word refreshes my soul) [Repeat]

Nalizingatia penzi lako kwa dhati (I consider your sincere love)
Nayamini maneno yako matamu (I believe your sweet words) [Repeat]

Chorus:
Mwaminifu, siku zote (Faithful always)
Jehovah Shammah, Mkarimu (Ever present God, you are generous) [Repeat]

Wema wako unadumu siku zote (Your goodness is forever)
Huruma zako, kamwe hazitakoma (Your mercies shall never end) [Repeat]

Heri nione wema wako maishani  (I’m blessed see your goodness in life)
Nikumbatie, na huruma zako (Embrace me with your mercies) [Repeat]

(Chorus)

Advertisement