(Sung in Swahili)

Oh nimetafuta kila corner (Oh I have searched everywhere)
Sijampata mmoja, ambaye anitosheleza (I have not found one that satisfies me)
Oh mimi nimeonja, sasa nimeona (Oh I have tasted, and now I see)
Ya kwamba wewe u mwema (That You [God] are good)

Chorus:
Nilikolia, machozi kayapanguza (When I cried, you wiped my tears)
Nilipocheka sababu ni furaha yako (When I laughed, it is because of your joy)
Nilipokwita Baba kanisikia (When I called you Lord, you heard me)
Na sa nimetambua (And now I kno)

Wanitosheza, wanonyesha njia (You satisfy me, you show me the way)
Huniachi nianguke Baba (You don’t let me fall Father)
Wanipenda sana, wanijali pia (You love me, and you care for me)
Nasema nakushukuru (I say that I’m grateful)

Oh upendo wako ni wa kweli (Oh your love is true)
Upendo usio na kamba zilizofungwa hapa na pale (A love that is unconditional)
Oh kanifia msalabani nilipokuwa kwa dhambi (Oh, you died on the cross for me – a sinner)
Na sasa niko huru (And now I’m free)

(Chorus)

I have tasted and now I see
There’s Lord you are so good to me

Bridge:
Wanitosheleza, wewe ndiye mwanga wangu (You satisfy me; you are my light)
Wanonyesha njia, mwaminifu tena sana (You show me the way; you are faithful)
Wanitosheleza, Nitakusifu wewe mile (You satisfy me, I will worship you forever)
Wanonyesha njia, Mpenzi wa roho yangu (You show me the way – the lover of my soul)

(Chorus)