Advertisements

Neno (The Word) Lyrics by Annette Tenaya

Leave a comment(Sung in Swahili)

Jambo moja we, nimepata we (There is one thing that I know)
Umenipa Baba (That You have given me, Father)
Neno yako everytime, (Your Word everytime)
Chakula cha roho yangu (To Feed my soul)
Wanishibisha (You Satisfy me)
Sina haja vya kutafuta hiyo vingine vilivyo vyajileta (I have no desire for other)
Neno lako ndani yangu, (For Your Word in me)
Linanipa miye maisha bora (Gives me a great life)

Refrain:
Ninaamini Neno Lako laongoza (I believe that Your Word leads)
Ninaamini Neno Lako ni mwanga (I believe that Your Word is the Light)
Ninaamini Neno Lako lina nguvu (I believe that Your Word is powerful)
Kanipa maisha bora, ninapaa (It has given me a great life, I fly)

Neno lako we, (Your Word)
Habari njema we, pande zote Baba (Is good news everywhere Father)
Waleta amani, na upendo, (It brings peace and love)
Baraka tele umoja kila kona (And abundant blessings everywhere)
Yaokoa kila mtu (It saves everyone)
Haibagui rangi (Not discriminating against color)
Jinsia ama lolote (Gender or anything else)
Hili neno tamu kuliko asali, (This sweet word, sweeter than honey)
Na ni maisha yangu (And is my life)

(Refrain)

I love You, You are my Joy
(Nimeamini, neno… [ni neno]) – (I have believed the word)
See your Spirit is my comforter,
Helper and my strengthener, I am never lonely
And Your word is a light unto my path
And a lamp unto my feet
As I’m walking in the capital city,
Imma talk it all let the world know it all
You are my Joy

(Refrain)

(Nimeamini, neno… [ni neno]) – (I have believed the word)
Every single day, I will give you praise, hey!

Ni neno (It’s The Word)

Advertisements

Wanitosheleza (You Satisfy Me) Lyrics by Annette Tenaya

1 Comment


(Sung in Swahili)

Oh nimetafuta kila corner (Oh I have searched everywhere)
Sijampata mmoja, ambaye anitosheleza (I have not found one that satisfies me)
Oh mimi nimeonja, sasa nimeona (Oh I have tasted, and now I see)
Ya kwamba wewe u mwema (That You [God] are good)

Chorus:
Nilikolia, machozi kayapanguza (When I cried, you wiped my tears)
Nilipocheka sababu ni furaha yako (When I laughed, it is because of your joy)
Nilipokwita Baba kanisikia (When I called you Lord, you heard me)
Na sa nimetambua (And now I kno)

Wanitosheza, wanonyesha njia (You satisfy me, you show me the way)
Huniachi nianguke Baba (You don’t let me fall Father)
Wanipenda sana, wanijali pia (You love me, and you care for me)
Nasema nakushukuru (I say that I’m grateful)

Oh upendo wako ni wa kweli (Oh your love is true)
Upendo usio na kamba zilizofungwa hapa na pale (A love that is unconditional)
Oh kanifia msalabani nilipokuwa kwa dhambi (Oh, you died on the cross for me – a sinner)
Na sasa niko huru (And now I’m free)

(Chorus)

I have tasted and now I see
There’s Lord you are so good to me

Bridge:
Wanitosheleza, wewe ndiye mwanga wangu (You satisfy me; you are my light)
Wanonyesha njia, mwaminifu tena sana (You show me the way; you are faithful)
Wanitosheleza, Nitakusifu wewe mile (You satisfy me, I will worship you forever)
Wanonyesha njia, Mpenzi wa roho yangu (You show me the way – the lover of my soul)

(Chorus)

%d bloggers like this: