(Sung in Swahili)

Chorus:
Waweza, waweza, waweza mwokozi (You are able,  you are able my Saviour)
Waweza mambo yote, wewe mwaminifu (you are able do all things, you are faithful)

Bwana Mungu wangu weee (Oh Lord my God)
Umenikombowa eee (You’ve rescued me)
umeniwezesha mimi, wewe ni mkuu (You’ve enabled me, you are great)
ukaniita kwa jina langu eeeee (You called me by my name)
Ukaniwezesha bwana eee (You enabled me)
Nikuabudu bwana nikuimbie (to worship and to sing for you)
Nilipokuwa kwenye dhambi, (When I was still in sin)
Ukanionyesha mwanga mwanga (you showed me your light)
Wewe ni mwanga wangu (you are my light)
Bwana wewe ni mkuu. (Lord, you are great)

(Chorus)

Bwana mungu wangu eee (Oh Lord my God)
Wewe ulimsaidia ayubu (you helped Job)
Alipokuwa na shida nyingi (when he was overwhelmed with troubles)
Bwana ulikuwa naye ( you were with him)
Neno lako linasema unazo fedha eeeeee (your word says you have silver and gold)
Zote nizako bwana wewe ni muweza (all belongs to you Lord, you are mighty)

(Chorus)

Wakati ninazo shida na magonjwa (When in problems and diseases)
Bwana unasema tuliite jina lako ( Lord you say that we call on your name)
Wewe ndiye muweza wewe ndiye mwenye nguvu (You are able, you are mighty)
Wewe ni kimbiliyo Baba waweza mambo yote (You are a fortress Father, you are able)

(Chorus)

Unaweza, unaweza, unaweza, Baba unaweza …
(You are able you are able, Father you are able)…

(c) Evelyn Wanjiru