(Sung in Swahili)

Kamba za mauti zilinizunguka mie (The chains of death surrounded me)
Mafuriko ya maovu yakanitia hofu (The flood of evil made me afraid)
Kamba za mauti zilinizunguka mie (The chains of death surrounded me)
Mitego ya mauti ikanikaribia mimi (The trap of death neared me)
Niliona shida,Niliona taabu (I saw trouble, I saw suffering)
Nikakuita Bwana wangu na wewe ukaitika (I called you my Lord, and you answered)

Kumuacha Bwana sio kuzuri Baba/Mama yangu (Leaving Him is not good dad/mum) x2
Nilimuacha mimi, nilipata shida/taabu (I left Him and suffered/troubled) x2
(Repeat)

Nikakimbia kimbia kwake Yesu/Baba (So I ran to Jesus/Father) x2

(Refrain)  +  (Verse)