(Languages: English, Swahili)

From the first day I met you
Sijawahi lala njaa, Nyumba umeishughulikia (I’ve never slept hungry, I have shelter)
From the first day I met you
Sijalala na kiu, umekuwa maji ya uzima (I’ve never slept thirsty, you’re my living water)
From the first day I met you
Sijapigwa na baridi blanketi umenipa (I’ve not slept cold, you’ve covered me)
From the first day I met you
Umenipenda na mambo yangu mengi (You’ve loved me the way I am)

Ulinipenda kwanza kabla nikujue (You loved me before I knew you)
Ulinipenda kwanza kabla nikupende (You loved me before I loved you)
Nilipokujua hapo nikatambua milele nitakuinua(Once I knew you, I knew I’d praise u forever)
Pendo la kishua, nami naamua nitakupenda pia (An everlasting love, I resolve to love you)

Refrain:
It is just a way, a way to show how much I love you
Ni njia ya kusema jinsi mimi ninavyo kupenda (Same translation)

Adui wewe umekuwa kizuizi maishani (Enemy, you’ve become an obstacle)
Adui wewe wataka nikose mimi taji ya uzima (Enemy, you want me to miss the crown)
Adui wewe ulishindwa miaka iliyopita (Enemy, you’re already defeated)
Kalivari aliposema yamekwisha (In Calvary when He said “it is finished”)
Eloi eloi lamasabakithani (“Eloi, Eloi, Lamasabakthani”)
Mawe walitupa, mate kukutemea (He was beaten, and spit on)
Mkuki ubavuni, maji yakamwagika (His ribs were pierced, and water flowed out)
Damu ilivuja, ili nipate uzima (He bled, that I may be saved)

(Refrain)

Advertisement