(Sung in Swahili)

Ni nani kama wewe (Who is like you) x3
Mungu mkuu (Almighty God) (Repeat)

Kwa neno lako Bwana (By the word of your mouth Lord)
Uliumba dunia na vyote vilivyomo (You created the earth and all in it)
Jina lako Baba, limeinuliwa juu ya yote (Your name Father, is lifted above all others)
Hakuna, hakuna kama wewe (There is no one, There is no one like you)

(Refrain)

Uinuwae wanyonge (You lift the weak)
Wawaketisha na wafalme (And sit them amongst kings)
Hakuna uwezaye tenda ila wewe (No one can do this except you)
Nikitazama maisha yangu (When I look at my life;)
Ulikonitoa Yesu wangu (From where you’ve brought me my Jesus)
Nina sababu ya kusema, ni wewe pekee (I have a reason to say, Only you)

(Refrain)

Nani mwenye uwezo (Who has the might)
Nani mwenye rehema tele (Who has the abundant compassion)
Nani mwenye enzi kama yako (Who has dominion like yours)
Ni wewe pekee (Only you)
Wastahili sifa zote (You deserve all the praise)
Mbinguni na duniani Baba (In heaven and on earth Father)
Twakusujudu, twakuabudu, twakuheshimu (We bow to you, we worship you, we extol you)

(Refrain)

Umetukuka adonai, el shadai (You’re praiseworthy Lord, God almighty)
Mungu mwenye nguvu (Mighty God)
Ni nani mwingine kama wewe (Who else is like you?)
Hakuna wa kulinganishwa na wewe Baba (There’s no one compared to you Father)
Nani kama wewe Baba/Yahweh (Who is like you Father/Yahweh)

Advertisement