(Sung in Swahili)

Refrain:
Hakuna silaha yoyote (No Weapon)
Iliyotumwa kinyume chetu (Forged against us)
Itakayofaulu (Shall prosper) (Repeat)

Silaha yoyote itakayotumwa (Any weapon sent)
Kwa njia moja au nyingine (In one way or another)
Itawanywishwa kwa njia saba (Will be scattered  in seven directions)
Haitafaulu (It shall not prosper)(Repeat)

(Refrain)

Maneno maovu Yaliyonennwa (Curses that were said)
Na walio hai na walio kufa (By the living or the dead)
Chini ya maji na nchi kavu (Under water or dry land)
Haitafaulu (Will not prosper)(Repeat)

(Refrain)

Refrain: Hakuna x3 itakayofaulu (None that will prosper)
Neno la Mungu linasema hakuna, (The word of God says that no)
Uchawi/mapepo/uganga/ushirikina (witchcraft/demons/charms/divination)
Itakayo faulu (That will prosper)
Usiogope, simama na neno la Mungu (Don’t fear, stand in God’s word)

(Refrain)