(Sung in Swahili)

Chorus:
Sasa nangoja matokeo (Now I await the results)
Kutoka kwako jalali (From you my almighty God)

Mimi nimefanya mitihani mingi sana (I have sat for many tests)
Nimepitia madarasa mengi sana (I have passed through many lessons)
Kwa kila darasa Yahweh (In each class, my God)
Umekuwa mwalimu wangu (You have been my teacher)
Umenifunza kuomba, umenifunza subira (You taught me to pray, and to be patient)
Umenifunza kungoja Baba (Father You taught me how to wait)
Nimekuwa mwanafunzi mwema kwako Baba (I have been a good student to you Father)

(Chorus)

Usiku mrefu sana, mbona hakupambazuki? (It’s been a long night, where is the dawn?)
Nimejaribu sana kukupendeza maishani mwangu (I have tried to please You in my life)
Nimefanya kazi, hiyo umeona Yesu (I have done Your work, You’ve seen them Jesus)
Nimetoa fungu la kumi hiyo umeona Baba (I have tithed, Father You’ve witnessed )
Nangojea, nangojea matokeo yangu (Now I await my results)
Ulisema nikitoa, nitabarikiwa (For you said that I shall be blessed  when I give)

(Chorus)

Asubuhi ikifika, ije na kicheko (When morning comes, may it bring laughter)
Asubuhi ikifika, ije na amani (When morning comes, let it bring peace)
Asubuhi ikifika, ije na furaha (When morning comes, let it come with joy)
Asubuhi ikifika, ije na jibu langu (When morning comes, may it bring my answer)

(Chorus)

Advertisement