Nakubaliana (I am In Agreement) Lyrics by Gloria Muliro

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Nakubaliana na neno lako, Bwana
(I’m in agreement with Your Word, Lord)
Nitasimama kwa Neno lako, Bwana
(I will stand on Your Word, Lord) (Repeat)

Ni Neno lako tu halibadiliki (It is only Your Word that never changes)
Ni Neno lako tu la kutumaini (It is only Your Word that is to be trusted)
Umeliiniwa juu ya jina lako, Neno (You have lifted Your Name, Your Word)
Halikurudii bure (Will not return to You in vain)
Neno la kinywa chako, Bwana (The Word from Your mouth, Lord)
Acha nilishikilie, nilitumaini, nikikungoja Bwana
(Let me hold on, trusting You, waiting for You Lord)
Acha nilishikilie, nilitumaini, nikikungoja
(Let me hold on, trusting You, waiting for You)

Kila ulilosema ni kweli (All that You have said is true)
Hata likikawia, ni kweli (Even if it delays, it is true)
Kila ulilosema ni kweli (All that You have said is true)
Hata likikawia, ni kweli (Even if it delays, it is true)
Ahadi zako kwangu ni kweli (Your promises to me are true)
Hata zikikawia, nakubaliana (Even if they delay, I agree with it)

(Refrain)

Daktari amenipa ripoti yake, sikubaliani
(My doctor gave me his report, I did not agree with)
Maana Bwana ulituma Neno lako ili mimi nipone
(For Lord You sent Your Word that I may be healed)
Majina yote duni niliyoitwa, sikubaliani
(All the bad names I was called, I do not agree with)
Maana mbele za Mungu ninafaa (For I am worthy before You God)
Tena mimi ni wa maana (Also I am important)
Maana mbele za Mungu ninafaa (For I am worthy before God)
Tena mimi ni wa maana (And I am also important)
Iwe kwangu utakavyo Baba (Do unto my situation as You will, Father)
Iwe nami upendavyo Baba (Do unto me as You will, Father)
Iwe kwangu utakavyo Baba (Do unto my situation as You will, Father)
Iwe kwangu utakavyo (Do unto me as You will, Father)

(Nitasimama) Nitasimama (I shall stand) x?

Repeat: Nitaishi (I shall live)
Nitaishi (I shall live) x4
Sitakufa (I shall not die)
Nitaishi (I shall live)
Milele (Forever)
Nitaishi (I shall live)
Nitaishi (I shall live)

Repeat: Nitasimama (I shall stand)
Niko na Mungu (I am with God)
Nitasimama (I shall stand)
Niko na Mungu (I am with God)
Nitasimama (I shall stand) x3
Nina Neno (I have the Word)
Nitasimama (I shall stand) x2

Repeat: Nitaishi (I shall live)
Nitaishi (I shall live) x2
Huduma yangu (My ministry)
Biashara yangu (My business)
Vyote vyangu (All is mine)
Nitaishi (I shall live)

Nitaishi, sitakufa, sitakufa (I shall live, I shall not die)
Nanena uhai leo maishani mwangu (Your Word brings Life into mine)

Advertisement

Look to Jesus Lyrics by Gloria Muliro

Leave a comment


Refrain:
Look to Jesus and believe
Look to Jesus and receive
Whatever you may need
you will, surely receive

All things are mine in Christ
I believe, I receive
Nothing impossible: I believe, I receive
On the Cross, He gave me all
Yes, I receive, all by faith
’cause I ask in the name of the lord
And I ask according to his will
Yes, I ask in the Name of Jesus
I ask, His on Word

(Refrain)

You fill my cup to overflow
You gave more than we ask or think
Adonai, You open doors, You make ways
You answer prayers, in Your Name
Mountains move in Your Name
We have the victory!

(Refrain)

Usiku Mtakatifu (O Holy Night) Lyrics by Reuben Kigame and Gloria Muliro

Leave a comment


(Sung in Swahili – A Hymn)See notes below

Usiku mtakatifu, nyota zameremermeta
(Oh Holy night, the stars are brightly shining)
Ni usiku wa kuzawa mwokozi
(It is the night of the dear Savior’s birth)
Dunia yote, kwa dhambi ilizama
(Long lay the world in sin and error pining)
Hadi Yesu kaja kutuokoa
(Till he appeared and the soul felt its worth)
Tunaiingia ya kusisimua kote
(A thrill of hope – the weary world rejoices)
Utukufu wake wachomoza

Tumsujudu, sikia malaika
(Fall on your knees, Oh hear the angel voices)
Usiku mkuu, wa kuzaliwa Yesu Kristo
(O night divine, O night when Christ was born)
Usiku mkuu, usiku mtakatifu
(O night, O holy night, O night divine!)

Kweli ametufunza sote kupendana
(Truly He taught us to love one another)
Injili yake ni amani (His gospel is peace)
Minyororo yote ya utumwa imevunjwa
(Chains shall He break for the slave is our brother)
Kwa jina lake tutapata uhuru
(And in His name all oppression shall cease)
Tenzi tamu wa pamoja twainua
(Sweet hymns of joy in grateful chorus raise we)
Tumsifu kwa roho zetu zote
(Let all within us praise His holy name)
Yesu ni Bwana, milele tumsifu
(Christ is the Lord! O praise His Name forever)
Tutangaze uweza na utukufu wake
(His Power and Glory evermore proclaim)
Tutangaze uweza na utukufu wake
(His Power and Glory evermore proclaim)

Tumsujudu, sikia malaika
(Fall on your knees, Oh hear the angel voices)
Usiku mkuu, wa kuzaliwa Yesu Kristo
(O night divine, O night when Christ was born)
Usiku mkuu, usiku mtakatifu
(O night, O holy night, O night divine!)

(Notes: The Swahili lyrics do not translate completely to the h ones, but the singers wanted to convey meaningful translation of the Hymn in Swahili – this is why we have the original English lyrics instead of re-translating the Swahili ones back to English)

Mapito (Trials) Lyrics by Gloria Muliro

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Mimi nashangaa, kumbe wakati wa mapito (I’m amazed that it times of trials)
Mambo yote hubadilika (Things change)
Mimi nashangaa, kumbe wakati wa mapito,
Hata rafiki anakutoroka (Even your friend deserts you)
Mimi nashangaa, kumbe wakati wa mapito,
Hauna wa kukutia moyo (There is no one to encourage you)
Kweli nashangaa, kumbe wakati wa mapito,
Mambo yote hubadilika (All things change)?
Hizi miaka zote mpenzi (My Love all this years)
Tumekuwa tu vizuri (We have done well)
Lakini kuanza jana unabadilika (But you’ve changed since yesterday)
Hutaki kuniona, kunikaribia hutaki mpenzi (You don’t want to see me or be close to me)
Pesa, unasemanga kwamba sina pesa (Money. You say I do not have money)
Hizi miaka zote mpenzi (All these years, my love)
Leo ndio umefunguka macho (It is today that your eyes gave been opened)
Umeona kwamba mimi masikini, sinanga pesa (To see that I am poor without money)?

Afadhali uniache jinsi ulivyonipata (It is better to leave me as you found me)
Najua ni mapito tu, bwana ananishughulikia (I know these are trials, The Lord will act on my behalf)
Nasema siwezi, kumuacha mungu wangu (I say I cannot leave my God)
Juu yako mpenzi (Because of You my love)
Mungu wangu anani shughulikia tu (My God acts on my behalf)

Refrain:
Uchungu wa mwana ni mzazi aujuaye (The parent understands the child’s pain)
Mapito yangu, baba wa mbingu anaona (My Heavenly Father is a witness to my trials)
(Repeat)

Jamani, wakati wa mapito (Truly in times of trials)
Usingojee kupigiwa makofi (Do not expect to be applauded)
Bali kupigwa makofi (But to be slapped)
Jamani, wakati wa mapito  (Truly in times of trials)
Usitarajie kutiwa moyo (Do not expect to be encouraged)
Bali kuvunjwa moyo  (But for your heart to be broken)
Wakati wa mapito (In times of trials)
Usitarajia marafiki (Do not expect friendship)
Bali manafiki kibao (But a lot of enmity)
Utakapo pata kesho, wengine wao watakurudia (Tomorrow when You’re blessed, others will return to you)
Watasema wanakujua (They will say they knew you)
Watasema walisimama na wewe, usiwakemee (That they stood with you, do not rebuke them)
Mungu, mungu ndiye analipa (God, God is the one who avenges)

(Refrain)

Atatenda tu, tenda tu, yeye (He will act on your behalf)
Atatenda tu, tenda tu, yeye (He will act on your behalf)

(Refrain)

Huniachi (You Won’t Leave Me) Lyrics By Reuben Kigame Ft. Gloria Muliro

3 Comments


(Sung in Swahili)

Refrain:
Umeahidi wewe Bwana huniachi
(Lord You have promised never to leave me)
Hadi mwisho wa dahari(?) ulisema, huniachi
(Even until the end of Age you said You will never leave me)
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu, siku zote
(You are a faithful God, all the time)
Mimi ninaiweka imani yangu kwako Baba
(I’ve put my faith in You Father)

Nipitiapo maji mengi au moto, huniachi
(When I go through many waters or fire, you’ll never leave me)
Unalijua jina langu ewe Bwana, huniachi
(Lord You know my name, You’ll never leave me)
Unatengeneza njia hata mito, kule jangwani
(You’ve prepared a way and streams in the wilderness)
Wewe ndiwe Alfa na Omenga, huniachi
(You are the Alpha and Omega, you’ll never leave me)

(Refrain)

Uliwalinda Waisiraeli kule jangwani
(You protected the Israelites in the wilderness)
Ukamtoa Danieli kutoka tundu la simba
(You saved Daniel from the Lion’s den)
Wewe huwainua na wanyonge, siku zote
(You uplift the weak, all the time)
Watuepusha na hatari kila siku, usifiwe!
(You keep us from danger every day, Be praised!)

(Refrain)

Baba hata mama wanaweza kunipaga
(My father and mother may betray me)
Marafiki nao wanaweza nigeuka
(My friends can turn their backs on me)
Mara kwa mara maadui wanizunguka
(Time and again my enemies surround me)
Nitaishi kwa ahadi yako Bwana, Huniachi
(I will live in your promise Lord, never to leave me)

(Refrain)

Older Entries

%d bloggers like this: