Purchase “Barua” Single
(Sung in Swahili)

Ni furaha ilioje Baba naitoa moyoni (What joy Father, pouring out of my heart)
Na nifuraha ilioje kwako usikie hewani (What joy for You to listen to this on air)

Ni barua ngapi nimendika kwa njia ya muziki?
(How many letters in song forms have I written?)
Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki
(And how many not-for-profit songs have I written?) (Repeat)

Refrain:
Nikikwita mpenzi, mpenzi, mpenzi (Calling you my love, my love, my love)
Nikikwita Daddy (Calling you my Father) (Repeat)

Ili kufunga nilifunga ila siri sitaki wajue
(I fasted in secret so no one would know)
Msamaha nikaomba kwa magoti nisikuzingue
(Repenting on my knees so as not to grieve You) (Repeat)

(Chorus)

Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe
(It is my love letter that I’ve decided to sing)
Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike
(It is my love letter that I’ve decided to write) (Repeat)

(Chorus)

Kama mapenzi msalabani ulifanya zaidi
(If it is love, you did more on the cross)
Na kama kipaji kwa burudani we kuwa nami
(If I have a talent in entertainment, abide with me)(Repeat)

(Chorus)

Wengi mjini wanaodai mapenzi kule walaghai
(Many in the city claim to love, but are liars)
Wana manabadili face kama kinyonga kamwe hawafai
(They change faces like a chameleon, and are no good)(Repeat)

(Chorus)

Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe
(It is my love letter that I’ve decided to sing)
Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike
(It is my love letter that I’ve decided to write) (Repeat)

(Chorus)