Futa (Wipe Away) Lyrics by Bahati and Mbosso

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Yale yale ya ujana maji ya moto n’kaukurupukia
(The same youth is like hot water I jumped on it)
Leo hii wawili watoto wanaiangalia (Today two children look to me)
Napambana sana na changamoto kuwatafutia
(I struggle with challenges to provide for them)
Nikikosa, mzazi mwenzangu anakuja moto (If I lack, my co-parent argues)
Matusi kunishushia (Verbally insults me)
Natumia nguvu kutafuta — jasho laloesha shati
(I use energy to search — sweat drenches my shirt)
Chini nikiziba ufa, juu linang’oka bati
(When I repair a crack on the floor, the roof leaks)
Zile ngo ngo kwa ndugu jama (The knock knock to my friends)
Zishaishanga mazima (mie) (Have completely stopped)
Miondondo mlezi wa wana (I have no help as the children guardian)
Lakini zali(zari?) sina (miee) (But I have no relief for myself)

Ama sauti yangu kwa mungu Baba, haisikiki?
(Is it because my prayers to Father God are not heard?)
Tuseme dua zangu mbingu ya saba, hazifiki?
(Shall we say my prayers to the seventh heaven, do not arrive?)

Response: Futa chozi, futa (Wipe the tears, wipe them)
Usiulize nalia nini (Do not ask why I cry)
Nahisi riziki yangu imepigwa pini (I feel like my provision have been stopped)
Iyeee lele lelile le
Mungu Baba nione (Father God, see me)

Nikiwa kazini akili zote zipo nyumbani
(When at work, all my attention is at home)
Nikiwa nyumbani wakusalishe, sina amani
(When at home they do not greet me(?), I have no peace)
Nakazana sana, kimziki (I struggle with my music)
Kweli napambana, kubahatisha riziki
(Truly I struggle in trying for provision)
Wanaomba mabaya wenye roho za choyo
(They pray ill for me those with selfish hearts)
Na ndugu zangu wakiwemo (My brothers included)
Napata fupa mi kibogoyo, Mungu ameninyima meno
(I get a bone, but I am toothless, God has withheld teeth for me)
Nikitazama watoto wangu, inje ya ndoa wamezaliwa
(When I look at my children, they were born out of wedlock)
Kwenye imani ya dini yangu, wanasema nishakosea
(In my religion’s faith, they say that I have sinned)

(Refrain)

Ama sauti yangu kwa Mungu Baba
(Is it because my voice to my Father God)
Tuseme dua zangu mbingu ya saba, hazifiki?
(Shall we say my prayers to the Seventh heaven do not arrive?)

Response: Futa chozi, futa (Wipe my tears, wipe them away)
Kuna muda naishiwa nguvu (There are times I lose strength)
Elimu sina kichwa mbumbumbu (I have no education, my brain is empty)
Naganga ganga njaa (I struggle with hunger)
Mungu wangu lini langu fungu? (My Father, when do I receive my portion?)

Lover Lyrics by Bahati

2 Comments


(Sung in Swahili)*

Kama ni mapenzi nilishatafuta sana (I looked for love high and low)
Kama ni kutoswa nilishatosa kwa bana (I was rejected in many places)
Kama ni mapenzi nilishatafuta sana (I looked for love high and low)
Umkhwano wanje, songa wachinimba (?)

Refrain:
Ungekuwa nyimbo ningekucheza sana
(If you were a song I would play on repeat)
Ungekuwa zeze ningekucheza bana
(If you were a flute I would play very much)
Ungekuwa nyimbo ningekucheza sana
(If you were a flute I would play very much)
Bana sana (A lot)
You are my Lover yeah, lover yeah, yeah, yeah
L.O.V.E
Umekuwa Baba kwangu (You have been my Father) (L.O.V.E)
Roho mtakatifu (Holy Spirit) (L.O.V.E)

(Refrain)

Na utanashati ukanipa kimwana (You gave me elegance as your son)
Nayo mashairi ndani yangu kajaza (And filled my heart with poetry)
(Repeat)

Bridge:
Hii yote pokea sifa moyoni umefanya (In all this receive praise)
Maulana si kawaida Kenya wakanidata (My Lord it’s not common for Kenya to accept(?) me)
Hii yote pokea sifa moyoni umefanya (In all this, receive all the praise)
Najua Afrika mtoto mama atasikika (I know I will be heard across Africa)

(Refrain)

*Translation is not word for word.

Barua (A Letter) Lyrics by Bahati

2 CommentsPurchase “Barua” Single
(Sung in Swahili)

Ni furaha ilioje Baba naitoa moyoni (What joy Father, pouring out of my heart)
Na nifuraha ilioje kwako usikie hewani (What joy for You to listen to this on air)

Ni barua ngapi nimendika kwa njia ya muziki?
(How many letters in song forms have I written?)
Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki
(And how many not-for-profit songs have I written?) (Repeat)

Refrain:
Nikikwita mpenzi, mpenzi, mpenzi (Calling you my love, my love, my love)
Nikikwita Daddy (Calling you my Father) (Repeat)

Ili kufunga nilifunga ila siri sitaki wajue
(I fasted in secret so no one would know)
Msamaha nikaomba kwa magoti nisikuzingue
(Repenting on my knees so as not to grieve You) (Repeat)

(Chorus)

Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe
(It is my love letter that I’ve decided to sing)
Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike
(It is my love letter that I’ve decided to write) (Repeat)

(Chorus)

Kama mapenzi msalabani ulifanya zaidi
(If it is love, you did more on the cross)
Na kama kipaji kwa burudani we kuwa nami
(If I have a talent in entertainment, abide with me)(Repeat)

(Chorus)

Wengi mjini wanaodai mapenzi kule walaghai
(Many in the city claim to love, but are liars)
Wana manabadili face kama kinyonga kamwe hawafai
(They change faces like a chameleon, and are no good)(Repeat)

(Chorus)

Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe
(It is my love letter that I’ve decided to sing)
Ni barua yangu ya mapenzi nimeona niandike
(It is my love letter that I’ve decided to write) (Repeat)

(Chorus)

%d bloggers like this: