(Sung in Swahili)
Wako mwana ukamtuma, duniani (You sent your child to earth)
Kisa na maana nipate uzima jamani (That I should receive salvation)
Ishara kwamba unanipenda zaidi (A sign that you love me more)
Hivyo nishaelewa sifa nitakupa zaidi (I know to give you more praise)
Refrain:
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
(And I shall not stop myself from proclaiming your goodness)
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
(It is not that I boast for myself, you have been good to me)
(Repeat)
Umekuwa mwema kwangu (You have been good to me)
Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka
(You removed me from darkness, where I was held prisoner)
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha
(You gave me hope, And I hid myself in You)
Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umenitenda?
(What shall I give You, equal to what you have done for me?)
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia
(Nothing. Only in my heart, I will sing Your praises)
Ilikugharimu, msalabani unifie
(It cost You to die on the cross for me)
Hivyo inanibidi, sifa nikuimbie
(Therefore I have to sing your praises)
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue
(To tell of Your goodness, that others may know You)
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne
(That all may join me, together with the twenty-four elders)
(Refrain)
Discover more from African Gospel Lyrics
Subscribe to get the latest posts sent to your email.
Jan 02, 2017 @ 02:37:19
I love the songs…so nice
LikeLike
Oct 08, 2016 @ 12:16:24
Dope Mercy Masika
LikeLike
Jun 01, 2016 @ 16:46:03
hi i would like to buy all cd for marcy masika .where should i got to get one.Thanks and God bless.
LikeLike
May 22, 2016 @ 05:38:53
I love ur songs mercy..God bless u abundantly love u
LikeLike
Mar 04, 2016 @ 01:13:21
Mercy, you are truly touching the lives of many through music. keep it up and God Bless
LikeLike
Feb 23, 2016 @ 16:07:42
Wooow the song is really touching keep it up mercy n may the Almighty bless you
LikeLike