Advertisements

Nifunze (Teach Me) Lyrics by Mercy Masika

Leave a comment(Purchase the song | Buy the Album | Stream Free)
(Sung in Swahili)

Refrain:
Baba nichukue, nifunze (Father take me and teach me)
Nataka kusoma, Kwa shule Yako (I want to study in your school)
Kwa shule Yako (Your school)
(Repeat)

Nikiwa nawe kama mwalimu (Having you as my Teacher)
Ninajua nitahitimu (I know I will qualify)
Nitashinda adui akileta majaribu (I will defeat the enemy’s temptation)
Unitayarishe, unibadilishe (Prepare me, change me)
Mtihani nipite, mwito nitimize (To pass my trials, and fulfill my calling)
Nijue kuandika (To know how to write)
Niandike maono yangu (That I may write my visions )
Nijue kuhesabu (To know how to count)
Nihesabu baraka zako (That may count Your blessings )
Nijue kuongea (To know how to speak)
Nihubiri neno lako (That I could preach your Word)
Kwa watu wako (To Your People)

(Refrain)

Shule Yako hatundanganywi (There is no lying in your School)
Ni ukweli na uwazi (Only truth and transparency)
Wanafunzi hawagomi (Students do not need to strike)
Mwalimu atujali (For the Teacher cares for us)
Unifunze nidhamu, Wote niwaheshimu (Teach me discipline,  for all to respect me)
Yesu ni Mwalimu, Yesu ni Mwalimu’ (Jesus is the Teacher, Jesus is the Teacher)
Nijue kuandika (To know how to write)
Niandike maono yangu (That I may write my visions )
Nijue kuhesabu (To know how to count)
Nihesabu baraka zako (That may count Your blessings )
Nijue kuongea (To know how to speak)
Nihubiri neno lako (That I could preach your Word)
Kwa watu Wako (To Your People)

(Refrain)

Advertisements

Huyu Yesu (This Jesus) Lyrics by Mercy Masika and Angel Bernard

4 Comments(Sung in Swahili)

Huyu Yesu si sanamu (This Jesus is not a statue)
Si mwanadamu, adanganye (Not human, that He should lie)
Ahadi zake zote kweli (His promises are all yes)
Na amina nimemwona (and Amen; I have seen Him)

Akisema ndio, hakuna wa kumpinga (When He says Yes, no one can oppose Him)
Akikubariki, hakuna wa kunyang’anya (When He blesses You, no one can rescind it)
Akikuahidi, kwa wakati atimiza (What He promises, He will fulfill in time)
Anavyokuita, ndivyo ulivyo (When He calls, that is how You are)

Refrain
Huyu Yesu, huyu Yesu (This Jesus x2)
si hadithi, mwambie (Is not fake, tell Him)

Umetangaziwa nini? (What have you been told?)
Umetabiriwa nini? (What has been prophesied about you?)
Maishani mwako, mwambie (About your life, tell him)
Unaumizwa na nini? (What hurts you;)
Je, una hofu gani? (What makes you afraid,)
Maishani mwako, mwambie (About your life? Tell Him)

Verse 2, Refrain

Mwema (Good) Lyrics by Mercy Masika

6 Comments


(Sung in Swahili)

Wako mwana ukamtuma, duniani  (You sent your child to earth)
Kisa na maana nipate uzima jamani (That I should receive salvation)

Ishara kwamba unanipenda zaidi (A sign that you love me more)
Hivyo nishaelewa sifa nitakupa zaidi (I know to give you more praise)

Refrain:
Na siwezi jizuia, kusema wako wema
(And I shall not stop myself from proclaiming your goodness)
Na sio kama najigamba, umenitenda mema
(It is not that I boast for myself, you have been good to me)
(Repeat)
Umekuwa mwema kwangu (You have been good to me)

Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka
(You removed me from darkness, where I was held prisoner)
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha
(You gave me hope, And I hid myself in You)
Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umenitenda?
(What shall I give You, equal to what you have done for me?)
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia
(Nothing. Only in my heart, I will sing Your praises)

Ilikugharimu, msalabani unifie
(It cost You to die on the cross for me)
Hivyo inanibidi, sifa nikuimbie
(Therefore I have to sing your praises)
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue
(To tell of Your goodness, that others may know You)
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne
(That all may join me, together with the twenty-four elders)

(Refrain)

%d bloggers like this: