(Sung in Swahili)

Ingelikuwa Mungu anauliza mwanadamu (If God were to ask a man)
Jinsi ya kumtendea mwanadamu (How to do to a fellow man)
Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo (Then I would not be how I am)
Hata tena nisingekuwa mahali nilipo (And I would not be where I am)
Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali
(You would’ve been told I’m not good, They would’ve reproved You)
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale
(You would have been reminded of my past sins)
Unabariki unayependa, unabariki unavyopenda
(You bless those you favor, You bless as you prefer)

Refrain:
Nahitaji ndio yako yesu tu (I need your yes only Jesus)
Nahitaji ndio yako yesu tu (I need your yes only Jesus)
Ninataka ndio yako Yesu tu (I want your yes only Jesus)
Ndio yako itanisimamisha (Your Yes will establish me)
Ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango (Your yes will open doors for me)

Hakuna sikio lenye funiko jamani (There is covered ear)
Wala sijaona jicho lenye pazia (And I have not seen a curtained eye)
Adui zako wangelikuwa na uwezo, (If your enemies had the ability)
Wangefumba macho, wangefunika masikio
(They would’ve shut their eyes, and covered their ears)
Wasikuone ukiwa juu, wasisikie umebarikiwa
(That they will not see you lifted, or hear your blessings)
Meza utaandaliwa mbele yao
(A table for you will be prepared before them)
Utakula, utakunywa mbele yao (You will eat and drink before them)
Nasema ndio, ndio ya Bwana (I say yes, The Lord’s “yes”)

(Refrain)

Bridge:
Yesu usiposema ndio, mali yangu, akili zangu hazitaweza
(Jesus If you don’t say yes; my possessions, my mind will not be able)
Bwana sema, sema ndio, yatosha (Lord say, say yes, it is enough)

(Refrain)

Advertisement